Hodi hodi Babaa naingia

Babaa

New Member
Nov 11, 2009
4
0
Waungwana hamjambo?? Napiga hodi kwenu tafadhalini nipokeeni ni mgeni wenu kwenye Blog hii ya Jamii, ndiyo naja kwenu leo.

Jamani nimekuwa mwanachama, nakubali hiki ni kisiwa cha fikra. Asanteni sana nikaribisheni kwa moyo.

Tuijenge nchi yetu kwa pamoja.
 
Karibu sana Babaa hapa JF. Huku kuna mababuu, mabibii, mamaa nk utajisikia upo nyumbani
 
Waungwana hamjambo?? Napiga hodi kwenu tafadhalini nipokeeni ni mgeni wenu kwenye Blog hii ya Jamii, ndiyo naja kwenu leo.

Jamani nimekuwa mwanachama, nakubali hiki ni kisiwa cha fikra. Asanteni sana nikaribisheni kwa moyo.

Tuijenge nchi yetu kwa pamoja.

Karibu moja kwa moja kwa mikono na miguu yote
 
Ndugu Babaa karibu sana na ujisikie nyumbani, aisee tunachotaka humu ni uchangiaji mzuri, tafadhali jitahidi sana uwe unachangia mada.
Karibu sana Babaa tusukume gurudumu letu.
 
Back
Top Bottom