ho

germstone jnr

Member
Dec 27, 2011
28
3
Nimevutiwa sana na jinsi wana JF mnavyo share uzoefu ktk mambo mbalimbali na hasa ktk mambo ya kizalendo yanayahusu mustakabali wa Nchi yetu.Nimetamani pia kuwa mmoja wenu n i hope mtanipokea.HERI YA X-MASS ILIYOPITA,.MWL J.K. alisema uhuru na kazi,sasa 2na hali mbaya zaidi ktk vita dhidi ya maadui watano wakubwa(1)haki waliyojimilikisha watawala kuamua kwa faida yao,kwa niaba yetu (2)ufisadi (3)umaskini (4)ujinga{wa kutodai haki zetu na kungojea kupewa na watawala tukiwa na uhakika wa kutopewa pamoja na ule wa darasani} (5)maradhi. Hivyo sasa iwe MIAKA 50 YA UHURU WA BENDERA NA KAZI ZAIDI ILI KUELEKEA UHURU KAMILI WA KIFIKIRA NA KIUCHUMI.Maisha bora yanawezekana yakidaiwa.
 
Nashukuru wote mlio nikaribisha kwa ukarimu wenu.Nitakuwa pia kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko ili nikutane na wakina B52.
 
ko3.jpg
 
Back
Top Bottom