Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
He!!! Au ni Alubadili?CUF HAITAKI WANAFIKI NA HAILAMBI MATAPISHI YAO,KUMBUKA kila alietoka cuf huwa anapotea na anafulia haswa,hata kama alikua anavuma kuliko tsunami alipokua cuf,akitoka kwishnei,wapo wengi na ushahdi upo anzia kwa mapalala,nayule aliekua mwakilishi wamkunazini zenj,na akwilombe,hiza lwakatare,tumbo,jidawi,fatma magimbi,tambwehiza,wamefulia tena wengine hata hawasikiki, kweli laana ya cuf kiboko.