CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 2000-2005 wana mpango wa kurudi ndani ya CUF na kuwaomba msamaha wanachama wa CUF.