Hizza Tambwe, Lwakatare, Akwilombe waomba kurejea CUF

Mleta hoja lazima unalingana maelezo ya Masaburi kwa wabunge wa magamba. Tumia akili kufikiri

kwani humu jf ni sifa zipi zinatakiwa mtu kuji register? maanake naona yeyote anayepinga cdm hafai is that the meaning of being great thinker?
Mnaji register kwa kuleta udaku! Date join 11the August 2011

Post 4.

Nakumbuka Hiza Tambwe wakati yupo CUF, aliwahi kula kiapo kuwa akirudi CCM ni bora alale na mama yake mzazi.
Lakini mwisho wa siku akahamia CCM.

Jf cio sehem ya kupost umbea kama huu! Lengo lako great thinkers wameshalisoma so u cant bluff anyone here except your fellow nincompoops pal!

Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 2000-2005 wana mpango wa kurudi ndani ya CUF na kuwaomba msamaha wanachama wa CUF.

Na Akwilombe naye unasemaje maana umeongelea wawili tuuu

Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 2000-2005 wana mpango wa kurudi ndani ya CUF na kuwaomba msamaha wanachama wa CUF.
Huo ungangari wa UMBEYA utakupeleka pabaya!

Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 2000-2005 wana mpango wa kurudi ndani ya CUF na kuwaomba msamaha wanachama wa CUF.
nazani umeeanza kuchanganyikiwa! mala ya mwisho umeonana lini na daktari wako wa akili?

Umaarufu wa kupost habari zisizokuwa na maana, hii ni kupotezea watu muda na kujaza server za watu bure na information ambazo haziwezi kuwepo. Plse lets be serious bwana!!!

Aaah mbona Mrema naye bado haondoki TLP na kuomba wana-CCM msamaha?
Watu kama Akwilombe na Hizza ni mzigo kwa kila chama ambacho watahamia......To hell......let the die out politically

Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 2000-2005 wana mpango wa kurudi ndani ya CUF na kuwaomba msamaha wanachama wa CUF.

napenda sana kuwa objective na kuapply natural justice kama taaluma yangu inavyonielekeza.
Lakini kwa hili acha niseme hivi "wewe unayejiita CUF ngangari, jaribu kuchek afya ya ubongo wako kabla hujaendelea kuathiri jamvi hili la weledi"

Richard Tambwe shule yake ndogo, ame expire arudi CUF akafanye nini? Wala haitajiki.
Wilfred Lwakatare bado ni mali , abaki CHADEMA ajijenge upya, atengeneze mtandao mzuri wa kumsaidia.Bado ni mtaji mzuri mimi namkubali.
Huyu Akwolombe mimi simjui cannot comment anything.

Can you prove this?
I think you are narrow minded! I do not belong to any party but can talk freely through JF.

Mhurumieni tu Tambwe kwani hawezi kukumbuka hata kile alichoongea jana. Kama karudi CCM basi kafanya hiyo dhambi.

Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 2000-2005 wana mpango wa kurudi ndani ya CUF na kuwaomba msamaha wanachama wa CUF.

Uongo njoo, utamu kolea, hadithi yako inatufundisha nini?

Similar Discussions

Back
Top Bottom