sita nimchafu toka zamani.toa ushahidi au umetumwa kumchafua?
sitta kwa hela ya cda- wewe yanga nini?aliyewapeleka simba brazil ni nani?...
Kwa fedha zipi?
huu ni udaku
"Aliyekuwa spika wa bunge ambae alimaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae inasadikika ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kukwapua mlungula katika kandarasi mbalimbali.
Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi
Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchukua rushwa ya Ma-trector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazil ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Tujuzeni wenye habari zaidi ktk hili.
unamhukumu mtoa mada kwa kosa gani?, ameleta mada ili mwenye data(+ve or -ve) azilete ili kuweka kumbukumbu sawa, wewe waleta habari ya kunyooosheana vidole?!, gt watia aibu but endelea na moyo wako wa kumtetea 6.
Nimekupata kakaWewe mafisadi unawajua, leo Sitta katoka wapi na hiyo barabara iliyojengwa na waBrazil toka 1982 ni kweli alikuwa CDA na akaenda uwekezaji kabla ya Naiko lakini si fisadi kama wakina Richmond
lete habari zenye uhakika tuchangia, Samweli keshasema hagombei
Toa ushadi, au umetumwa kumsafisha?
"Aliyekuwa spika wa bunge ambae alimaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae inasadikika ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kukwapua mlungula katika kandarasi mbalimbali.
Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi
Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchukua rushwa ya Ma-trector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazil ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Tujuzeni wenye habari zaidi ktk hili.
Unamhukumu mtoa mada kwa kosa gani?, ameleta mada ili mwenye data(+ve or -ve) azilete ili kuweka kumbukumbu sawa, wewe waleta habari ya kunyooosheana vidole?!, GT watia aibu but endelea na moyo wako wa kumtetea 6.
Wewe mafisadi unawajua, leo Sitta katoka wapi na hiyo barabara iliyojengwa na waBrazil toka 1982 ni kweli alikuwa CDA na akaenda uwekezaji kabla ya Naiko lakini si fisadi kama wakina Richmond
lete habari zenye uhakika tuchangia, Samweli keshasema hagombei
1982 utalinganisha na ufisadi wa sasa kweli?