bakuza
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 490
- 100
"Aliyekuwa spika wa bunge ambae alimaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae inasadikika ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kukwapua mlungula katika kandarasi mbalimbali.
Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi
Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchukua rushwa ya Ma-trector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazil ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Tujuzeni wenye habari zaidi ktk hili.