Hizi ni bendera za Nchi gani?

Hivi hii nayo ni bendera? Ya nchi gani?

ly.png
http://www.appliedlanguage.com/flags_of_the_world/medium_flag_of_libya.gif
 
Duuu, watu mna GOOGLE au mnafahamu. Nilitaka kusumbua watu kidogo ila nimejibiwa haraka sana. Naona wengi sana Geography inapanda. Nakumbuka tukiwa shule ya Msingi, kulikuwa na mchezo wa kutafuta majina ya miji kwenye ramani. Sehemu zilizosumbua zilikuwa Kamchatka (Russia), milima ya Atlas (morroco) na kiboko ni pale jamaa alisema tumtafutie URI YA A KUSINI. Tusisota kama nusu saa hadi jamaa mmoja akaanza kucheka saaana na kusema "wee Mjinga, umetusumbua saana kwa uzembe wako, siyo URI YA A KUSINI ila maneno mengine yako upande wa pili wa ukurasa, na inatakiwa kuwa JAMHURI YA AFRIKA KUSINI". Kutoka siku hiyo tukaacha kutafuta maana ilikuwa ukisema tu jina, basi hata dakika haijaisha wameshakuonyesha.
 
Bwana sikonge shule za zamani ramani yote ya dunia na bendera zake zilikuwa kichwani lakini watoto wanaosoma sasa sidhani kama ukiwauliza wanaweza ..
Kuna sikunilikuwa nasikiliza Redio mtoto wa Intrenation skuli anaulizwa Makamu wa Rais anaitwa nani hajui..
Sipati picha!
 
Enzi hizo tulikuwa tunajuwa viongozi wote wa serikali kuu, ukiondoa wale wa serikali za mitaa... Kila nchi na mazao yake na inategemea nini kukuza uchumi wa nchi zao.

Sina uhakika kama wanafunzi wa sasa wanajuwa baraza la mawaziri lina mawaziri wangapi...!
 
Bwana sikonge shule za zamani ramani yote ya dunia na bendera zake zilikuwa kichwani lakini watoto wanaosoma sasa sidhani kama ukiwauliza wanaweza ..
Kuna sikunilikuwa nasikiliza Redio mtoto wa Intrenation skuli anaulizwa Makamu wa Rais anaitwa nani hajui..
Sipati picha!

Enzi zetu pia kulikuwa na vituko. Unakumbuka yule mtoto aliulizwa Rais wa Kenya ni nani akasema hafahamu. Mwalimu akamcheka sana na mwisho kumwambia anaitwa KENYAta. Kijana akafurahi na kusema sasa anawafahamu Marais wa dunia nzima. Zambia anaitwa ZAMBIAta, ZAIREta, UGANDAta, TANZANIAta, MAREKANIta, RUSSIAta, ARGENTINAta, LIBTAta .......................... "ehhhhh, stop!!".
 
Back
Top Bottom