Wazazi kwa kweli wanatakiwa kufuatilia kwa karibu nyendo za watoto wanaoingia kwenye fani hizi za miziki na uigizaji.
Wasichana mbona wanaharibikiwa hivi? Je watoto wa kiume nao wanaathirika hivi?
Je wakina baba nao wanakuwaga wapi watoto wanavyoharibika?
Huyu amenikumbusha ishu ya Lulu!
Wasichana jamani angalieni msilewe umaarufu.
bado sikubaliani na wewe!!mbona wewe sio teja?from what i hear ni kwamba dada alikuwa na kwanja mrefu..stress za nini?mapenzi?huyu ni kutaka umaarufu tu hakuna kingine,.na bahati yake bongo kuna brown sugar,wangekuwa wanabwia white sugar keshakufa saa hizi!by the way,kama unamuonea sana huruma mpeleke rehab.
ulikuwa nyingi....aliyetumbuiza ni recho wa t.h.t ambaye anafana naye tumbona alitumbuiza kwenye REDDS MISS TZ? sikuona kama ameharbika