Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Money Stunna, Nov 2, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,083
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 48
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA IJUMAA
  [​IMG]
  apo kabla madhara ayajaanza kuonekana

  [​IMG]
  kuna mdau ameomba niweke picha alivyokuwa kabla ndio hiyo sasa
   
 2. k

  konar JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 18
  Anaelekea kuwa marehemu muda si mrefu, eh mwenyezi MUNGU mrehemu,hatorudia tena kosa, amina!
   
 3. kisukari

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,027
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 48
  ki ukweli inasikitisha.ndugu wasichoke kumsaidia
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,252
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 48
  Mbona kawa Kama mdudu
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Poleni wanafamilia kwa mtihani mliopata
   
 6. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #6
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana! Inna lilah wainah illaah rajiunah
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,264
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 63
  Inasikitisha bado wana nafac ya kumuokoa lkn
   
 8. data

  data JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 10,167
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 83
  embu weka picha yake wakti bado model..........
   
 9. a

  anin-gift JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wampeleke kubadilishwa damu mapema ana hali mbaya huyo.
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,083
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 48
  nimekuwekea mkuu fungua tena
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,190
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 48
  Acha kutoa hukumu kwa kitu usichokijua..Lord Eyez kamkuta Ray c tayari ni mteja wa kutupwa..unga ndio uliowaunganisha.
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,849
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Arudi akatambike kwenye kaburi la kiyeyeu
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,159
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 48
  Mmmmh, dunia tambara bovu
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 48
  Madawa si mchezo.......... tunachukulia poa wauza unga

  ni kuwapiga risasi tu za machoni
   
 15. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,543
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 38
  aiseeeeee babaangu leo mmeandamana kweli?????
   
 16. k

  kisilo JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtandao wamauzo nimkubwa kiackwamba hatawaliopewa kuzuia uingizwaji
  ndio mamember coz naniatamfunga paka kengele???
   
 17. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,032
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 48
  hizo picha ulikuwa unegeasha kagazeti udaku ndo unapiga picha zimetoka hovyooo...kuhusu ray-c kama ndo kweli yupo hivyo aende kwenye kituo cha ushayri wamsaidie, asione aibu....ujana ni maji ya moto sema tu hayakawii kupoa
   
 18. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,083
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 48
  apa ukipost habari yoyote nyie wananch cha kwanza mnasema lete source yan chanzo cha habari,na source ikiwekwa mnalalama pia,viumbe wazito nyie,anyway walimpeleka hospital akafukuzwa sababu alikuwa anaendelea kutumia kisirisiri rafik zake walikuwa wanamletea
   
 19. data

  data JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 10,167
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 83
  asiye funzwa na mama yee....
   
 20. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,110
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  ahaha by the way pictures hazipo clear sana. Kwahiyo i cant say anything. Anaonekana kama amelala tu, zingeonekana vizuri ningesema something. By the way madawa sio inshu...
   

Share This Page