Minyukano ya Mbunge Lema na RC Gambo katika uendeshaji miradi tofauti zao ndiyo huwa zinaitwa interpersonal issues. Kwenye interview huwa wanaweza kukuuliza umahili wako wa Ku-demonstrate high sensitivity in handle ling interpersonal issues kwa sababu project yeyote ina muda wakuanza na kumaliza (time frame) kwa hiyo mkiendeleza minyukano sawa lakini muda uaendelea kutick, kwa hiyo mnaweza kukuta muda wa ku-phase-out mradi umefika hamajafanya lolote mumekalia kutifuana tu as a result project itaisha bila kufanya kishindo (impact).
Tunajifunza nini kwa hili?
1. Kama kungekuwa na interview kwenye huo mradi basi wote Lema na RC Gambo WAMEFELI.
2. Wote mnaotegemea kuwa maproject managers mjifunze kutoka kwa Gambo na Lema kwamba inatakiwa kumaliza haraka sana tofauti zenu vinginvyo miradi itafeli na CV zenu zinaharibika.
3. Ni mbaya sana kuishi kama katika himaya ya kambale maana kambare dume, jike na mtoto wote wana sharubu, inafaa sana moja akubali kuwa mkubwa na mwingine awe mdogo ili maisha yaendelee kwa amani na utulivu kuliko aibu zile zilizotokea jana Arusha.
Ushauri wangu ni huo kwa Ma-manager to be.
C.C Faizer fox