Umeleta ishu yako huku ili upate ushauri, Sasa acha kubishana , wewe chukua chenye kukufaa kisichofaa Baki nacho kumtima.Khs salama ya dogo bs niseme nilikosea hayo mengne unayoisema ni kwasababu hayajakukuta Tu Mzee kweli tena kuna watu ni pasua kichwa.
Kuhusu ulalamishi Kwa taarifa yako sinaga muda wa kulalamikia mtu hata SKU moja mi nilishaamua kufanya maisha yangu sina chuki na mtu aisee.
Kwa namna yako ngumu sana kujitambua.