The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,300
Ujinga ni mzigo
Ignorance is so expensive.
Kuna watu wamekaririshwa tunasoma tuajiriwe. Maarifa siyo kitu muhimu kwao..
Hakuna mzazi anayepanda kumwona mtoto wake akiteseka, uchumi ndo utalazimu tu kufanya vinginevyo..
Na walioshindwa kuwasomesha watoto wao shule Nzuri huja na vijisababu vya kijinga kijinga hapa kuponda English mediums
Unapomyima mtoto elimu bora hasa Dunia ya leo utakuwa umemkosesha pakubwa sana
Kama kwako ni tía maji tía maji Acha watoto wa wenye nazo wafaidi.
Waache watoto wako wakarundikwe huko kayumba kama kondoo Ndani ya zizi.
Darasa moja wanafunzi 100 huku baadhi wanakaa chini . Kama hujawahi kutembelea kayumba schools huwezi kunielewa.
Hizo shule hazifai Hata kidogo