watu wa iringa hawahitaji uwanja mzuri na wa kisasa
serikali ndivo inawaza hivo,wamesahau kuna vivutio vingi vya kitalii
wakope wajenge uwanja mkubwa unaoweza kutua ndege kubwa kama boeng na wakaribishe washindani
ktk sekta ya usafirishaji kutoa ushindani na unafuu wa wasafiri na pia itakuwa na gateway kwa watalii kutuka nje
sisi tunawaza tu ruzuku na wizi wa rasilimali tushibishe matumbo yetu,akili yetu ndio imekomea hapo
siamini kama hatuna uzalendo na uchungu na nchi yetu,labda achukue nchi kiongozi mwenye vision.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.