Hiyo ndiyo VIP room iringa Airport

Kwa kuitazama tu, hii picha ilipigwa miaka ya 80![/QUOTE
Hapana ni picha ya sasa hivi. Huyo mwarabu ni Salim abri alikuwa class mate wangu sec school.huyo mwenye green said rubea nilicheza naye basketball na mwenye tai mbigili anadai damu yake ya kijani.aliwahi kupigwa na body guard. Wa mwinyi. Kwa kufungua mlango wa Gari wakati mwinyi ni rais.
 
Hahahahaa this is funny. Sasa lounge ya watu wa kawaida ndio ikoje?Wanakaa kwenye stuli ?
Thubutu wakalie stuli wanakalia vigoda kama vile alivyokuwa anakalia Chief Mkwawa enzi zake,fimbo lugoda teh teh
 
View attachment 46515
attachment.php

i know the place very poor
no, "poverty" sometimes ni kisingizio. Hapo mahala hata wewe pangekuwa sebuleni kwako pasingekuwa hivyo. Kwanza limlango lao basi angalau lingefutwa vumbi, mlango hadi umeota ukurutu mweusi, does that cost money to clean? ... na li tangazo la biashara sijui cocacola ukutani nalo ni la kufuta, jamani tangano la biashara kwenye ukuta wa lounge?? Wameshindwa hata kuweka maua pori hapo mezani, au nayo yange cost? Halafu hilo dirisha linalotaka kumtoboa kisogo huyo Lukuvi na Rostam, safety hazard! ... duu, airport utadhani kibaraza cha duka la mafuta ya taa kwa Mchaga?! Underdevelopment is state of mind, poverty is just a symptom.
 
Nadhani hao walikua wanamsubiria kigogo wa chama na serikali manake wote ni magamba na huyo mwarabu ni wa ASAS family....am not sure km VASCO hua anapita apa? but any way wahusika wataliona hilo manake ata kigoma yale maandishi tulicomment yakabadilishwa.........yani viwanja alivyoacha nyerere hakuna improvement yoyote....laana hiii
 
Back
Top Bottom