Hiyo ndiyo VIP room iringa Airport

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Utafikiria wako bar za vijijini,milango inafungwa na komeo.


a1.jpg
attachment.php
 
watu wa iringa hawahitaji uwanja mzuri na wa kisasa
serikali ndivo inawaza hivo,wamesahau kuna vivutio vingi vya kitalii
wakope wajenge uwanja mkubwa unaoweza kutua ndege kubwa kama boeng na wakaribishe washindani
ktk sekta ya usafirishaji kutoa ushindani na unafuu wa wasafiri na pia itakuwa na gateway kwa watalii kutuka nje
sisi tunawaza tu ruzuku na wizi wa rasilimali tushibishe matumbo yetu,akili yetu ndio imekomea hapo
siamini kama hatuna uzalendo na uchungu na nchi yetu,labda achukue nchi kiongozi mwenye vision.
 
Na yule jamaa aliye vaa shati la magamba akisimama dirisha analo utosini.
 
Wakina Lukuvi wamejaa ushirikina tu hawaoni umuhimu wa kuendeleza Nduli airport!!
 
Wakina Lukuvi wamejaa ushirikina tu hawaoni umuhimu wa kuendeleza Nduli airport!!
Na nadhani Nduli airport ipo kwenye jimbo laka,kama siyo ipo jirani sana mpaka wa jimbo lake.
 
Hivi na Jk anapitia hapo kwenye VIP na kunywa kasoda?
 
Very Ignored People(VIP) lounge....viwanja vya ndege vya Tanzania ni aibu sana.
 
Hicho kiwanja kinaathiriwa na jina lake! Kwani Idi Amini amewahi kufika hapo? Muwe munachaguaga vizuri majina wajameni!
 
Hicho kiwanja kinaathiriwa na jina lake! Kwani Idi Amini amewahi kufika hapo? Muwe munachaguaga vizuri majina wajameni!
Kulikuwa kinautwa nduli kabla ya vita.
 
Back
Top Bottom