Hivi YAHOO ina matatizo au ni kwangu tu?

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Helo wanaJF,
Mara kadhaa nimekuwa nikifungua hiyo site kwa ajili ya kusoma e-mail zangu na kila nikifungua inbox ya yahoo naona haifunguki. Je tatizo hili ni langu tu au hata kwa wengine?
 
Yah, hata mimi toka jana inazuiwa (untrusted site!)
 
Helo wanaJF,
Mara kadhaa nimekuwa nikifungua hiyo site kwa ajili ya kusoma e-mail zangu na kila nikifungua inbox ya yahoo naona haifunguki. Je tatizo hili ni langu tu au hata kwa wengine?

I would recommend you create a gmail account which is far much better than yahoo and others
 
Ya, ni vizuri kuna na altenative account ili uwe unapata service wakati wote.
 
Helo wanaJF,
Mara kadhaa nimekuwa nikifungua hiyo site kwa ajili ya kusoma e-mail zangu na kila nikifungua inbox ya yahoo naona haifunguki. Je tatizo hili ni langu tu au hata kwa wengine?

Try to switch back to Classic yahoo if u re using New yahoo.
 
Yahoo wamekuwa wakifanya upgrading na wameongeza baadhi ya new features kwenye platform yao. Huenda mabadiliko hayo yanaingiliana na security settings katika browser yako.

Jaribu kuangalia kwenye Tools|Internet Options|Security na tiki kwenye settings for Internet. inabidi iseme Medium Low. Kama inasema Custom, basi jaribu kuweka kwenye Medium Low halafu kwenye apply na kisha ok.

Ukimaliza jaribu kugonga reshresh button na uone kama yahoo page ikabadilika au vipi, yote ni kujaribu.
 
Back
Top Bottom