Hivi watanzania taaluma (professional) gani tunayo imudu vizuri?

Tatizo ni kwamba wanasiasa hawatoi nafasi wataalamu kuonyesha utaalamu wao.

really true
 
Mkuu rekebisha heading nadhani ulikusudia profession(noun) na si professional(adjective).Kwa hiyo umetudhihirishia na english pia hatuiwezi,teh teh teh
 
Kimsingi hakuna tunachoweza mpaka sasa,lakini tunayonafasi bado ya kufanya vizuri kama tukiamua kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom