Hivi watanzania taaluma (professional) gani tunayo imudu vizuri?

Samkyjr

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
363
62
Wana jf habari za jumamosi? Mimi kuna wakati huwa napata wasiwasi na taaluma zetu kwa mfano kama hosiptari kubwa kama muhimbili inashindwa kumtibu mgonjwa wa malaria mpaka anapelekwa india? Wanasheria ndio basi madudu matupu, mainginia wanajenga majengo yasiyo imara pia barabara mbovu, upande wa I.T nako shida upo kwenye foleni atm mara utasikia network hamna, mara mishahara imechelewa network inasumbua, upande wa uongozi pande zote toka familia, vyuo mpaka nchi madudu. Sasa wa jf wapi tunapoweza.
 
Ngono mkuu. Huku wote tz wamebobea. Hii haihitaji uandae proposal ufanye utafiti, ushahidi uko nje nje. Makada wa vyama, viongozi, madent, sio siri hii sector wengi tunaweza na haihitaji semina elekezi ya rais.
 
Watanzania ni wataalam mno kwa kuchakachua tigo. Yaani wanaona masaburi waliyoumbwa nayo hayatoshi sasa wanaleta madawa ya kuongezea mangongingo
 
Tatizo ni kwamba wanasiasa hawatoi nafasi wataalamu kuonyesha utaalamu wao.
 
Wizi,kkpenda vya rahisi,kuongea sana bila kuchukua hatua,mfano wewe mwenyewe umetoa matatizo kibao lakini hujawahi kuchukua hatua yoyote
 
Wana jf habari za jumamosi? Mimi kuna wakati huwa napata wasiwasi na taaluma zetu kwa mfano kama hosiptari kubwa kama muhimbili inashindwa kumtibu mgonjwa wa malaria mpaka anapelekwa india? Wanasheria ndio basi madudu matupu, mainginia wanajenga majengo yasiyo imara pia barabara mbovu, upande wa I.T nako shida upo kwenye foleni atm mara utasikia network hamna, mara mishahara imechelewa network inasumbua, upande wa uongozi pande zote toka familia, vyuo mpaka nchi madudu. Sasa wa jf wapi tunapoweza.
Wizi, Uzinzi, Domokaya, Ngoma, Ulevi n.k. Orodha ni ndefu sana inatia kichefuchefu.
 
tumebobea sana katika WOGA na KULALAMIKA. Kama mambo hayo yangekuwa na yanasomewa kitaaluma robo tatu ya watanzania tungekuwa na Phd
 
Utapeli, ulevi na majigambo! Sifa za kijinga kujivunia mali asili zinazo wanufaisha mafisadi.
 
Tatizo la watanzania ni "ATTITUDE" mbaya tukibadilisha mtizamo tu mambo yanabadilika pia. hapa Tanzania Mtu mwizi, mla rushwa, mtu anayeishi maisha ya usaniisanii anaonekana ndiye wa maana kwenye jamii, mtu mwema, serious, anaonekana ovyo, mshamba na hata jamii hata ndugu hawamthamini. Hali hii inasababisha watu wakose morali ya kazi wanakimbilia kutafuta namna watakavyoheshimika kwenye jamii, kwa daktari anajilinganisha na na mtu waliyesoma naye akafeli shule lakini anaishi vizuri kiusaniisanii tu na anaheshimiwa na kuabudiwa na watu. kwa hali wataalamu wetu hawawezi kufanya kazi kwa tija there is no equitable rewards, ndo maana wengine wanakimbilia siasa na kazi zisizokuwa za taaluma yao, na wengine wanakuwa walevi tu, wamekata tamaa.
 
Wana jf habari za jumamosi? Mimi kuna wakati huwa napata wasiwasi na taaluma zetu kwa mfano kama hosiptari kubwa kama muhimbili inashindwa kumtibu mgonjwa wa malaria mpaka anapelekwa india? Wanasheria ndio basi madudu matupu, mainginia wanajenga majengo yasiyo imara pia barabara mbovu, upande wa I.T nako shida upo kwenye foleni atm mara utasikia network hamna, mara mishahara imechelewa network inasumbua, upande wa uongozi pande zote toka familia, vyuo mpaka nchi madudu. Sasa wa jf wapi tunapoweza.

UVIVU na MAJUNGU. NGONO ni subsidiary
 
afya hatuna
shule hatujaenda
pesa hatuna
kuna kingine tutaweza zaidi ya FITINA,MAJUNGU,UMBEYA NA UPAMBE?
 
Back
Top Bottom