Unajua hawa dada ze2 me cwaelwi kabisa maana "Fake hair, Fake eye blows, fake skin, fake nails, fake buttocks and xo xo" but they still need real men.
Haijalishi anajisikia vipi,anachokifanya, awe anajua au hajui ni Kumkosoa aliyempa hizo nywele zake za asili ambaye Hakosei so anapata dhambi.
Really!? Are you serious!? I make Tanzania 'miserable' country to live because of my opinion about 'Brazilian hair'! Na Kikwete na CCM yake watakuwa wameifanya Tanzania sehemu ya aina gani basi kama comment to on 'some' hair make you miserable...Tanzania miserable!? Maaan you made me laugh...
Maisha ya mbongo kila anachoongea lazima aingize siasa. Tanzania ni taifa la siasa. Kwenye olympic kungekuwa na mchezo wa siasa labda watu wetu wangerudi na medali. Sikutegemea kama mjadala wa nywele nitakuta siasa, but thats because I kindof forgot kuwa sisi ni watanzania!
Sikulaumu 'mchumia tumbo wewe'! Fani ilikushinda ukakimbilia huko huko kwenye siasa...bahati mbaya nazo zinakushinda, kacheze kiduku sasa! Sie bado tupo na fani, na tunaipigania...mpaka kieleweke!
daktari hata wewe umo kwenye kundi hilo!!! sawa daktari, katangaze Jumapili mchana kuwa mimi fani imenishinda na nyinyi bado mmo. Huonekani kama ni mtu wa kurusha majungu ya uongo, kumbe umo. hahahahahahaha maisha ni very interesting!
You know the difference between me and you? What I write on JF I can tell you to your face...
You wan'na schedule a meeting?!
ulimbukeni na umagharibi unawasumbua
Kuvaa wigi siyo kumkosoa Mungu, tusichanganye mambo. Kwani kuvaa nguo ni kumkosoa aliyekupa ngozi?