Hivi wanawake wanajisikiaje wakifanya haya..

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,475
4,265
Hivi mwanamke anajisikiaje anapovaa wigi kushonea human hair na blah blah zingine kama hizo.. Je anamdanganya nn au anajidanganya mwenyewe?? Na wengine kwa kufuata mkumbo wanabandika nywele utafikiri sanamu yaani haziendani hata rangi ya mwili wake au uhalisia wa kibinaadamu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
we unakereka nini? Mzuie wa kwako asivae...sie wenzio tunanunua tu, sijui human hair..sijui Brazilian nini...as long as 'beibe' anapendeza, anakuwa comfortable na confident...who cares!
 
Unajua hawa dada ze2 me cwaelwi kabisa maana "Fake hair, Fake eye blows, fake skin, fake nails, fake buttocks and xo xo" but they still need real men.
 
Unajua hawa dada ze2 me cwaelwi kabisa maana "Fake hair, Fake eye blows, fake skin, fake nails, fake buttocks and xo xo" but they still need real men
 
Kama hupendi wewe wenzio wanapenda na wananunulia wawapendao,ww nadhani utakua bahili sana ndio mana hupendi.
 
Hivi mwanamke anajisikiaje anapovaa wigi kushonea human hair na blah blah zingine kama hizo.. Je anamdanganya nn au anajidanganya mwenyewe?? Na wengine kwa kufuata mkumbo wanabandika nywele utafikiri sanamu yaani haziendani hata rangi ya mwili wake au uhalisia wa kibinaadamu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Beauty is in the eyes of the beholder
 
halafu wanavyojitingisha vichwa zikija machoni utadhani zao kumbe wameegesha,wamuulize miss tz dada N.S madhara ya madude hayo
 
nimeona picha ya naomi campbell na yeye yamemuathiri hayo madude feki kichwani
 
Hayo madude hata hayafai kabisa, kwanza yapendezi, halafu yanatoa harufu mbaya na nikujidharirisha wenyewe kwa kutokujikubali walivyoumba na Muumba wao
 
we unakereka nini? Mzuie wa kwako asivae...sie wenzio tunanunua tu, sijui human hair..sijui Brazilian nini...as long as 'beibe' anapendeza, anakuwa comfortable na confident...who cares!
I care. If God had wanted do you to be Brazilian he could have sent you to the Amazon forest.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom