Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

Urahisi wa kumpata mtu unaendana na uhitaji wa mtu na sio wapi umempata au vipi umewasiliana nae.Hata facebook/bar/mtaani ukikutana na mtu asiyehitaji mahusiano lwa wakati huo iwe ni kwasababu anayo tayari na hataki kubeba vidumu au hanayo ila ameamua kujipumzisha huwezi kumpata iwe kirahisi au kwa ugumu kama kubeba zege.

Aliye tayari tayari hata mkikutana kwenye dalaladala itakua rahisi kwake kukukubali kutokama na uhitaji wake.Hivyo hata hapa inawezekana wakawepo au wasiwepo....yote inategemea akili na utu wa mtu na sio Forum ya Jamii.

Well presented.
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

Huwaoni wanavyolia katik nyuzi zao. Demu ni demu ukisimam nae man to man hachomoki labda usijue kudanganya.....
 
Attachments

  • 1411915930344.jpg
    1411915930344.jpg
    22.6 KB · Views: 312
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

Kwqna hapa maswala yakubadilshana namba sahau kabisa kwakifupi wanawake wa JF HAWACHAKACHULIKI NG'O
 
Nahisi hao ulokutana nao ni wale MALAYA ila si kwa wengine

Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz
 
Hivi Rejao kaenda wapi siku hizi? Au Lumumba wamekata buku Saba?
 
Last edited by a moderator:
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz
Wa CCM ni zaidi hata wakati wa vikao vya ccm 😷😷😷
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

Gud kweschen.....
 
Mimi nlikua nachat na mtu bahati sikumtongoza akaniambia ana hamu ya bia nkamwambia sawa tukutane rose garden, nkajakuta ni bonge la maza kwanza ni linene balaa alafu anauwezo wa kuwa na watoto hata wanne wakubwa yangu duh nkakoma miee
 
Ungepiga hivyo hivyo tu!!
 
kwa hiyo umeshawavuruga vuruga huko ukawavuruga a a a a a a a a a. sasa unakuja huku. ole wako unichukulie demu wangu nakuroga.
 
Back
Top Bottom