Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz
 
Urahisi wa kumpata mtu unaendana na uhitaji wa mtu na sio wapi umempata au vipi umewasiliana nae.Hata facebook/bar/mtaani ukikutana na mtu asiyehitaji mahusiano lwa wakati huo iwe ni kwasababu anayo tayari na hataki kubeba vidumu au hanayo ila ameamua kujipumzisha huwezi kumpata iwe kirahisi au kwa ugumu kama kubeba zege.

Aliye tayari tayari hata mkikutana kwenye dalaladala itakua rahisi kwake kukukubali kutokama na uhitaji wake.Hivyo hata hapa inawezekana wakawepo au wasiwepo....yote inategemea akili na utu wa mtu na sio Forum ya Jamii.
 
una PHD ya utongozaji??
Je we ni physic maana hapa gender
Nyingi ni unknown .. ..
Angalia usidanganyike na Avatar pamoja
Na majina...
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

mmh hatariiii
jtaid utapata
bt kumbuka umu jf si watoto km wa FB

NA UMU ngumu kujua nan jike nan demu
 
una PHD ya utongozaji??Je we ni physic maana hapa genderNyingi ni unknown .. ..Angalia usidanganyike na Avatar pamojaNa majina...
Ni rahisi kumgundua mtu kama ni mwanamke au mwanaume hapa JF, kwa kuangalia tu the way anavyojiexpress unapata picha moja kwa moja kama ni mwanamke au mwanaume, otherwise awe na jinsia mbili kama vile mash oga
 
Jidanganye kwa watu wanavyojiexpress utakutana na mwanaume mwenzio ndo utajua JF ni nini.

Muulize NN na Rev Masanilo wana ID ngapi za kike na za kiume
 
Jf ni kama kwengine huko kote ulikopita!...Tofauti ni ndogo sana kama at all ipo!
asee Pj hapa ni ngumu sana yaani saaana najua kwann nasema hv mi si mtoto mdogo....nimehangaika weeee kutafuta wa moyo
ah wapi....nikatoka hola..
 
Kama nimekusoma vizuri umesema huko kwingine unaweza kupata hata mke wa mtu ndo maana nikakupa caution kuwa Mke wa mtu sumu
Ooh, hapo nimekupata! Ni hatari kuwa na mke wa mtu! But ukiwa naye kwa umakini nafikiri huwezi kupata madhara! Hutakiwi kumng'ang'ania, unamaliza tu kilichokupeleka kwake then off you go.
 
Back
Top Bottom