Hivi Wanawake tukoje?.......

Mie naona huyo mama mumewe alikuwa hamridhishi, hamfikishi kunako. kazi kweli kweli! Hizi cheat jamani!

Naam hilo ni kubwa sana katika sababu za watu kutembea nje, pia kuna hili la michuzi labda Njemba kahamishia nguvu zote nyumba ndogo na kusahau kama ana mke. Mama naye anaamua kufanya mavitu yake. Ndoa zina majaribuni makubwa mno!!
 
"wala msikaribie zinaa hakika hiyo zinaa ni njia mbaya na chafu" (QUR AN:17:31)
Hata ikija hiyo sheria ya fidia mradi chanzo cha matatizo haya kinapuuzwa hayatakoma, na huo UKIMWI hautakwisha milele. YARABI STARA.
 
Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.

Mh Fidel hata mimi nimeshasikia malalamiko hayo kuwa wapemba ni waharibifu. Pengine kwa vile wao wako zaidi katika secta za kina mama hasa wale wa nyumbani. Akimwongeza mchele nusu kilo ah amepata.

Ila kwa upande mwingine kina baba nao wanachangia wewe unaondoka home unamwachia mamsap shs 500 anunue chakula , haitoshi hata kidogo lazima ataingia katika vishawishi vya mpemba muuza duka.
 
Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.

Aisee tafadhali sana na hizo lugha zenu za jumlajumla..tusije onana wabaya.
 
Inasikitisha sana jinsi makosa ya watu yanavyoweza kuwatesa wengine ambao hawakuhusika na tendo.Lakini nadhani kuna kitu tunakuwa wagumu kukiongelea na kwa maoni yangu ndiyo mzizi wa mabaya yote haya.Kuna wanaoona wanawake ndiyo wabaya, kuna wanaoona wanaume labda wana makosa.Ila lawama kubwa sana zinawaangukia wanawake na ni sawa kabisa.Hebu tujiulize, huko nyuma wakati maadili yalikuwepo na wote wanawake na wanaume wakajiheshimu na kuthaminiana, haya mambo yalikuwa ni nadra sana.Miaka ya sasa wanawake na wanaume wote hawa maadili.Wanaume wengi hata ukiwaambia wasubiri hadi ndoa hawakubali wanawalazimisha wanawake kufanya vitendo na wasipokubali basi uhusiano huishia hapo.Kadhalika kuna wanawake hawajiamini.Wanakuwa na wanaume kadhaa na wanaenda nao wote sambamba bila hata kujali kuna madhara.Kinachoshangaza zaidi ni jinsi gani watu bado wanapeana mimba na huku tunajua kabisa kuwa kuna magonjwa kama UKIMWI! Kitendo cha kupata ujauzito wenye utata ni ushahidi tosha kuwa wahusika wanafanya ngono zembe! TUJIREKEBISHE Mwisho wa ubaya huwa ni aibu.
 
Updates:

Kumbe Mama Baraka (mke wa Saleh) alikuwa anamdanganya mpemba wa watu (actually si mpemba bali ni point five flani) kuwa alishawahi kumwambia mumewe (Saleh) kuwa mtoto si wake kumbe ni uongo.
 
WomenOfsubstanc
unaota au unacheza...hayo yote yalishazungumzwa na yanaeleweka.....lakini mazingira na hali halisi ya maisha yanatuhukumu..wewe jiulize mara ngapi umeshakuwa kwenye dilemma ya wanaume??? sema kweli!!!!sasa hapo lazima kuna catch ya kutoa mashine yako kwa zaidi ya mwanamme mmoja.....just like that....tusidanganyane..na hii ndiyo habari
 
Hivi pata picha mwanao wa miaka tisa unagundua si wako halafu baba yake mzazi anamdai ah!! Kama ni wewe huyo mtoto unabadilishiwa familia jamani! Starehe hizi zinatupeleka pabaya.
 
WomenOfsubstanc
unaota au unacheza...hayo yote yalishazungumzwa na yanaeleweka.....lakini mazingira na hali halisi ya maisha yanatuhukumu..wewe jiulize mara ngapi umeshakuwa kwenye dilemma ya wanaume??? sema kweli!!!!sasa hapo lazima kuna catch ya kutoa mashine yako kwa zaidi ya mwanamme mmoja.....just like that....tusidanganyane..na hii ndiyo habari
Asante ndugu!
Lakini hata uwe kwenye dilema ndo hadi uzae? ishu hapa ni kuwaletea dhahama wale ambao hawakuwemo kwenye equation hiyo.
 
Aisee tafadhali sana na hizo lugha zenu za jumlajumla..tusije onana wabaya.

Mkuu waonye wenzio oooh tutaonana wabaya hapa mtaani kwetu kuna wapemba vijana wawili wanadandia sana wake za watu watakuja kula mishale ya makalio.
 
Inasikitisha sana jinsi makosa ya watu yanavyoweza kuwatesa wengine ambao hawakuhusika na tendo.Lakini nadhani kuna kitu tunakuwa wagumu kukiongelea na kwa maoni yangu ndiyo mzizi wa mabaya yote haya.Kuna wanaoona wanawake ndiyo wabaya, kuna wanaoona wanaume labda wana makosa.Ila lawama kubwa sana zinawaangukia wanawake na ni sawa kabisa.Hebu tujiulize, huko nyuma wakati maadili yalikuwepo na wote wanawake na wanaume wakajiheshimu na kuthaminiana, haya mambo yalikuwa ni nadra sana.Miaka ya sasa wanawake na wanaume wote hawa maadili.Wanaume wengi hata ukiwaambia wasubiri hadi ndoa hawakubali wanawalazimisha wanawake kufanya vitendo na wasipokubali basi uhusiano huishia hapo.Kadhalika kuna wanawake hawajiamini.Wanakuwa na wanaume kadhaa na wanaenda nao wote sambamba bila hata kujali kuna madhara.Kinachoshangaza zaidi ni jinsi gani watu bado wanapeana mimba na huku tunajua kabisa kuwa kuna magonjwa kama UKIMWI! Kitendo cha kupata ujauzito wenye utata ni ushahidi tosha kuwa wahusika wanafanya ngono zembe! TUJIREKEBISHE Mwisho wa ubaya huwa ni aibu.
Una ushahidi?

Dr Yo Yo sikutegemea kabisa na wewe unaweza kututusi hadhirani hivi.. Nakupa sekunde 2 urekebishe hii post yako kabla sijakuripoti kwa wenye jamvi.
Dr mbona haya yanajulikana nakumbuka kuna wazee fulani pemba kule walikuwa wanatembea na kinyesi kwenye viberiti unamkuta mchana kweupe ananusa nusa kinyesi kwenye kiberiti kuvuta stimu....ikitokea jamaa akapumua basi utamsikia yule mzee maaashallah mtoto bikira huyo.......Dr pemba unguja na tanga nuksi kwa TIGO
 
WomenOfsubstanc
unaota au unacheza...hayo yote yalishazungumzwa na yanaeleweka.....lakini mazingira na hali halisi ya maisha yanatuhukumu..wewe jiulize mara ngapi umeshakuwa kwenye dilemma ya wanaume??? sema kweli!!!!sasa hapo lazima kuna catch ya kutoa mashine yako kwa zaidi ya mwanamme mmoja.....just like that....tusidanganyane..na hii ndiyo habari

. Ni kweli ndugu zamanizamani mtu anaweza akawa kwenye dillema kama unavyosema na akajikuta katembea nao wote wawili. Issue itakuwa tofauti kama utadhani kuwa mimba ni ya Juma na na ukaamua kuolewa naye only to find it ni ya Damian hapa HUKUJUA. Ila Umejua kabisa ni ya Juma unakwenda olewa na Damian unambambikia mimba na mtoto.

Makosa hutokea na wote tumeumbiwa kukosea ila ni jinsi gani tunavyoyakabili matokeo ya makosa hayo.
 
Jamani kuna wanawake huwa kwao kuwa waaminfu kwenye ndoa ni ndoto,na pia leo narudia hili 'HAKUNA TABIA MPYA ITAKAYOONEKANA KWENYE NDOA KAMA HAIKUWEPO TOKA ENZI MTU AKIWA SINGLE' Ni kwamba huyo mwanamke tangu zamana alikua na tabia yaku-cheat na ndo maana imeendelea hata alipoolewa,wako wengi tu wenye hizo tabia,kuna dada namfahamu alikuwa ana uhusiano na mume wa mtu na huku pembeni ana serengeti boy,yule mume wa mtu alipojua akampa masharti akamryhusu aolewe lakini hakuna kuzaa na huyo aliyemwoa,ikatokea kapata mimba alipopata mimba mume wa mtu akamwambia toa nilishakwambia sihitaji uzae na huyo aliyekuoa dada wa watu akatoa mimba akasingizia kwa mumewe kuwa ni dawa alizokua anatumia wakati akiumwa malaria ndo zimesababisha itoke,hivi tunavyoongea amebeba mimba ya mume wa mtu.sasa hapo jamani utasema huyo kabadilikia ndani ya ndoa? Si ni tabia ambayo aliingia nayo na ameshindwa kuirekebisha.
 
Leo umeongea point kuna mada kule ya fedha ni mvuto wa mapenzi?
 
kumbe?! Unataka huo ushahidi halafu?
hapa hatuuziani sumu kama za wanaisiasa wa tanzania......umesema "wanaume......." ndio nakwambia kwa kauli yako umefanya reasearch? toa ushahidi wako haya ndio maneno ya saluni eti "wanaume vile wanawake vile"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom