Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Rais Jacob Zuma ametangazwa kuoa mke wa sita. Kwa sasa ana wake wa ndoa 3 baada ya ndoa nyingine 2 kusambaratika. Pamoja na huyu mke mpya ambaye umri wake ni mdogo kuliko baadhi ya watoto wa Zuma, binti huyo (mke mpya) na sifa ya umalaya (aliwahi kubaka) bado amekubali kujitosa.
Hii inanifanya niwaulize wanawake, hivi mna matatizo gani? Ni kutaka umaarufu? Ni kupenda dezo? Au ndio kutimiza unabii wa Nabii Isaya kuwa wanawake saba wataomba kuolewa na mume mmoja ili tu waitwe kwa jina la mume?