Hivi Waganda wote wana fani ya ualimu?

Bw.Ukoko

Member
Jun 26, 2009
26
0
Wakuu,
Katika siku za hivi karibuni kumezuka kasumba ya karibu shule zote zilizoko katika mikoa ya kanda ya ziwa kuagiza waganda kwa ajiliu ya kufundisha katika shule nyingi zinazoitwa international school.

Ina maana kila mganda anayejua lughaa ya kiingereza ni mwalimu? na je watoto wetu wanafundishwa katika mlengo wa kuelewa au ni kufundishwa lugha tu kama vile wanavyofundishwa wachina huko kwao.

na je hapa tunajenga misingi ya elimu kwa watoto hawa?

Mwisho naomba kujua hivi ni shule gani hasa inastahili kuitwa shule ya kimataifa.

Chao
 
Back
Top Bottom