Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,623
Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza.

Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani?

Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na naona taa za kimulimuli zimewaka juu ya gari.

Barabara niliyopo ina median [sijui Kiswahili chake] katitaki.

Nageuka nyuma kuangalia hiyo sauti ya king’ora inatokea wapi, mara nauona msafara wa Jaji Mkuu ukielekea mwelekeo ninaoelekea mimi ila ukiwa upande mwingine wa barabara ambako magari yanayoenda mjini yanatakiwa kuwa.

Msafara wa Jaji Mkuu ulikuwa unaenda ‘the wrong way’.

Siku chache baadaye tena, nikakutana na msafara wa mkuu wa polisi nchini, IGP.

Msafara wa IGP nao ulikuwa unaenda ‘the wrong way’. Naye ana ving’ora na vimulimuli kwenye msafara wake.

Misafara ya viongozi wote hawa wawili, ilikuwa inavunja sheria za barabarani, kwa nijuavyo mimi.

Au hizi sheria huwa haziwahusu wao?

Manake kwa Jaji Mkuu na Inspekta Jenerali Mkuu wa polisi, ni kati ya viongozi wanaopaswa kuzisimamia na kuzitekeleza sheria za nchi. Wanapaswa kuwa mifano mizuri kwa sisi wengine.

Ila kwa nilichokiona, ni kinyume kabisa. Wao ndo walikuwa wanavunja sheria.

Sasa ndo nauliza; je, wao [viongozi] wana sheria zao peke yao ambazo zipo tofauti na sheria zinazotuhusu sisi wengine?
 
Sheria za Tanzania zimeundwa kwa ajili ya watu masikini, watu wanyonge, watu wenye kipato cha kawaida, na wale wenye kipato cha kati pekee.

Vigogo wa chama na serikali, na wafanyabiashara wakubwa hawahusiki na hizi sheria. Hao wanaweza kufanya chochote, na sheria ikapindishwa.
 
Sheria ni kwa watu masikini tu
 
Sheria za Tanzania zimeundwa kwa ajili ya watu masikini, watu wanyonge, watu wenye kipato cha kawaida, na wale wenye kipato cha kati pekee.

Vigogo wa chama na serikali, na wafanyabiashara wakubwa hawahusiki na hizi sheria. Hao wanaweza kufanya chochote, na sheria ikapindishwa.

Ume explain vizuri sana, in other world namkaribisha muuliza swali kwenye reality
Amechelewa tu kufahamu
 
Viongozi wa kiafrika ni kawaida kuvunja Sheria na kukemea maskini wanao waiga kuvunja Sheria, kama wewe unavyo shangaa wao kufanya huo upuuzi ndivyo na wao wata kushangaa kwa nini unashangaa
 
We umejua Leo? Nchi zote zinazongozwa na maji tu ya hovyo kwenye jamii, Hari huwa hivyo
 
Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza.

Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani?

Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na naona taa za kimulimuli zimewaka juu ya gari.

Barabara niliyopo ina median [sijui Kiswahili chake] katitaki.

Nageuka nyuma kuangalia hiyo sauti ya king’ora inatokea wapi, mara nauona msafara wa Jaji Mkuu ukielekea mwelekeo ninaoelekea mimi ila ukiwa upande mwingine wa barabara ambako magari yanayoenda mjini yanatakiwa kuwa.

Msafara wa Jaji Mkuu ulikuwa unaenda ‘the wrong way’.

Siku chache baadaye tena, nikakutana na msafara wa mkuu wa polisi nchini, IGP.

Msafara wa IGP nao ulikuwa unaenda ‘the wrong way’. Naye ana ving’ora na vimulimuli kwenye msafara wake.

Misafara ya viongozi wote hawa wawili, ilikuwa inavunja sheria za barabarani, kwa nijuavyo mimi.

Au hizi sheria huwa haziwahusu wao?

Manake kwa Jaji Mkuu na Inspekta Jenerali Mkuu wa polisi, ni kati ya viongozi wanaopaswa kuzisimamia na kuzitekeleza sheria za nchi. Wanapaswa kuwa mifano mizuri kwa sisi wengine.

Ila kwa nilichokiona, ni kinyume kabisa. Wao ndo walikuwa wanavunja sheria.

Sasa ndo nauliza; je, wao [viongozi] wana sheria zao peke yao ambazo zipo tofauti na sheria zinazotuhusu sisi wengine?
They don't break the law,they just bend the law kuwai majukumu ya kitaifa!
"All people are equal but others are more equal than others"

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wanasheria zao tofauti na sisi ndugu tambua hilo!
Angalia yafiatayo;
1. Wanaweza kuuza raslimali za taifa badala ya kuzilinda (wako juu ya sheria)
2. Wanaweza kuachana na taratibu za manunuzi ya umma na kuamua kufanya watakavyo (wako juu ya sheria)
Kiufupi: Nchi ipo sokoni
 
Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza.

Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani?

Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na naona taa za kimulimuli zimewaka juu ya gari.

Barabara niliyopo ina median [sijui Kiswahili chake] katitaki.

Nageuka nyuma kuangalia hiyo sauti ya king’ora inatokea wapi, mara nauona msafara wa Jaji Mkuu ukielekea mwelekeo ninaoelekea mimi ila ukiwa upande mwingine wa barabara ambako magari yanayoenda mjini yanatakiwa kuwa.

Msafara wa Jaji Mkuu ulikuwa unaenda ‘the wrong way’.

Siku chache baadaye tena, nikakutana na msafara wa mkuu wa polisi nchini, IGP.

Msafara wa IGP nao ulikuwa unaenda ‘the wrong way’. Naye ana ving’ora na vimulimuli kwenye msafara wake.

Misafara ya viongozi wote hawa wawili, ilikuwa inavunja sheria za barabarani, kwa nijuavyo mimi.

Au hizi sheria huwa haziwahusu wao?

Manake kwa Jaji Mkuu na Inspekta Jenerali Mkuu wa polisi, ni kati ya viongozi wanaopaswa kuzisimamia na kuzitekeleza sheria za nchi. Wanapaswa kuwa mifano mizuri kwa sisi wengine.

Ila kwa nilichokiona, ni kinyume kabisa. Wao ndo walikuwa wanavunja sheria.

Sasa ndo nauliza; je, wao [viongozi] wana sheria zao peke yao ambazo zipo tofauti na sheria zinazotuhusu sisi wengine?
Acha mihadarati
 
Miqka kadhaa iliyopita viongozi hao uliowataja walikuwa hawana escort ya ving'ora lakini sasa hivi kila kiongozi ana escort ya king'ora, nchi ya ovyo sana hii.
 
Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza.

Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani?

Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na naona taa za kimulimuli zimewaka juu ya gari.

Barabara niliyopo ina median [sijui Kiswahili chake] katitaki.

Nageuka nyuma kuangalia hiyo sauti ya king’ora inatokea wapi, mara nauona msafara wa Jaji Mkuu ukielekea mwelekeo ninaoelekea mimi ila ukiwa upande mwingine wa barabara ambako magari yanayoenda mjini yanatakiwa kuwa.

Msafara wa Jaji Mkuu ulikuwa unaenda ‘the wrong way’.

Siku chache baadaye tena, nikakutana na msafara wa mkuu wa polisi nchini, IGP.

Msafara wa IGP nao ulikuwa unaenda ‘the wrong way’. Naye ana ving’ora na vimulimuli kwenye msafara wake.

Misafara ya viongozi wote hawa wawili, ilikuwa inavunja sheria za barabarani, kwa nijuavyo mimi.

Au hizi sheria huwa haziwahusu wao?

Manake kwa Jaji Mkuu na Inspekta Jenerali Mkuu wa polisi, ni kati ya viongozi wanaopaswa kuzisimamia na kuzitekeleza sheria za nchi. Wanapaswa kuwa mifano mizuri kwa sisi wengine.

Ila kwa nilichokiona, ni kinyume kabisa. Wao ndo walikuwa wanavunja sheria.

Sasa ndo nauliza; je, wao [viongozi] wana sheria zao peke yao ambazo zipo tofauti na sheria zinazotuhusu sisi wengine?
Hao unawalaumu bure kwani hawajavunja sheria, weka ushahidi ukionesha wao binafsi ndio walikuwa wakiendesha hizo gari, vinginevyo waliovunja sheria ni madereva wao.
 
Back
Top Bottom