Hivi vifo vya mende nishachoka navyo mimi khaah!!!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
Miaka nenda, miaka rudi nikingia toilet, nakuta kifo cha mende, nikingia sebuleni nakuta kifo cha mende, nikingia chumbani nakuta kifo cha mende, nikingia kitandani loooh salale ndio, majanga kabisa, sasa nasema baaasi! nimechoka....!
color=red]na huyu mende nae, wakati wowote atakaa, miguu juu.
 
Back
Top Bottom