Hivi utafanya nini hili likikutokea?

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Hivi ukigundua kuwa jirani yako huwa anakupiga chabo kila siku wakati unaoga au umelala na mkeo/mumeo utafanya nini ili hali yeye mpiga chabo hajui kuwa umeshagundua hiyo tabia yake?
Hebu toeni comments zenu ili nipate cha kufanya.
 
Nitachofanya siku nyingine nanuua maji ya betry(Sulphuric acid) au HCL(Hydrolic Acid) naiweka kwenye kikombe cha glass,najibanza naweka mito kwa chini halafu demu wangu akae juu,then namsikilizia dirishani akikasogeza uso namwagia acid mazima!!
 
kamueleze ukweli kuwa hufurahishwi na tabia yake hiyo, then mfanyie maombi kwani nadhani hajielewi!!!.
 
Ntacheka kwanza alfu muda mwingi ntautumia GYM kujifua cku nikilianzisha atafraiii.
 
kummwagia maji ya pilipili najitia ni bahati mbaya tu
 
Namwita namwambia anachofanya sio vizuri akiendelea nafanya kama King Kong hapo juu.
 
Hujafafanua hizo chabo anazifanyia kupitia mianya ipi kwenye nyumba. Kama ni dirishani, hakikisha una mapazia.Je unamwona saa unakupiga chabo? Kama ni hivyo, ni rahisi. Kama jina lake ni kwa mfano; Baba Sudi, unapomwona saa anakupiga chabo, sema kwa sauti kubwa:Nani huyo hapo kama Baba Sudi? Unataka nini?
Ataacha upuzi wake.
 
Hivi ukigundua kuwa jirani yako huwa anakupiga chabo kila siku wakati unaoga au umelala na mkeo/mumeo utafanya nini ili hali yeye mpiga chabo hajui kuwa umeshagundua hiyo tabia yake?
Hebu toeni comments zenu ili nipate cha kufanya.
Angalia comedy ya Majuto, "MZEE WA CHABO", majibu yote yamo humo.
 
mhhh mitaa gani hiyo mnachunguliana, weka taa yenye mwanga mkali sana nje bila yeye kujua then mpange na mtu mwingine kuiwasha anapokuja dirishani abaki kasimama wima asijue pa kukimbilia
 
Nitahakikisha nafunika sehemu zote anazotumia kupigia chabo..
 
Back
Top Bottom