Husninyo safari ni ndefu my dia,unaweza ukakaza kamba?
Imeshakupata au kutokea au huamini kama ipo kitu kama hii?au ni uzushi?
Unakuta jinsi unavyoendelea kuchat na mtu,kuwasiliana kwa simu hata kama hamjawahi kuonana au kuona picha yake unaweza ukafall in love.Au unakuta huyo mtu amekugusa tu hisia kwa maneno yake matamu.
HII KITU KIPO?
Nemo people sex online,unakuta on skype,or site for chatting,mpaka mnajikuta mmefall mazima
sina mbona hivyo?
unless nimepitwa na wakati dear..................................love is not sex, what you've described sounds to be more like lust
nimefall in love na excellent hadi najishangaa.
Husninyo hahahaha upo serious?mbona utanisababisha na mimi nifall
huwa sitanianagi na watu.
Nipo serious kabisa.lol
Excellent, shauri zako
how old are you nemo....?
U sound so mature that i am starting to fall for you....
kwa vigezo hivyo vya sauti wanavyotumia watu si ajabu wakafall in love na zaidi ya mmoja.
the boss:
havent you ever heard the saying "never ever ask a lady for her age?"....................................31 is my dreaded number.
but u know sex also is a part of love,na inachukua hisia zaidi kuliko other parts za love
jinsi huyo mtu anavyokupa channel za maisha ndo utagundua anakufaa ingawa hata hujamfahamu kisura.
CPU vipi mbona unaniogopesha,Ila love is democracy.