Hivi unaweza ukafall in love na mtu ambaye hujawahi kumwona?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Imeshakupata au kutokea au huamini kama ipo kitu kama hii?au ni uzushi?
Unakuta jinsi unavyoendelea kuchat na mtu,kuwasiliana kwa simu hata kama hamjawahi kuonana au kuona picha yake unaweza ukafall in love.Au unakuta huyo mtu amekugusa tu hisia kwa maneno yake matamu.

HII KITU KIPO?
 
nimefall in love na excellent hadi najishangaa.
 
ni ngumu sana..ila ukiona mtu ana fall inlove na mtu ambaye ajamuona ni kwamba anatamani kuwa na mtu lakini inamuwiwa ngumu sana kupata mtu..ndiyo maana anweza kufaaa na mtu amabye ajamuona..
 
Jamii01 hapo sawa hayse
 
Imeshakupata au kutokea au huamini kama ipo kitu kama hii?au ni uzushi?
Unakuta jinsi unavyoendelea kuchat na mtu,kuwasiliana kwa simu hata kama hamjawahi kuonana au kuona picha yake unaweza ukafall in love.Au unakuta huyo mtu amekugusa tu hisia kwa maneno yake matamu.

HII KITU KIPO?

Busara na maneno matamu yanayoonekana kwenye "postings" za mtu yanaweza kukusababishia hali hiyo. Wala si urongo!
 
Mtoboa siri kweli hayse,kuna posts zingine za watu na maneno yanagusa hisia sana
 
Back
Top Bottom