tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 494
Hizi ni picha zinazoonyesha mawindo ya miongoni mwa wanyama katika mbuga , na maeneo yetu hapa tanzania,lakini katika hali ya kushangaza hizi picha zimetia fola au zimekuwa ni picha zilizovutia na kupendwa na watu wengi barani ulaya,kwetu sisi afrika ,hasa hapa tanzania tunaweza kuona picha isiyokuwa na umuhimu mkubwa rakini hali hii ni tofauti na wenzetu uko ulaya na marekani, pia kupatikana na kuonekana picha hizi katika ukurasa wa mbele wa magazeti na majarida mengi kuliamashisha watalii wengi kuja katika mbuga zetu hasa hapa tanzania,pia zimekuwa ni picha bora sana za msituni kupigwa 2013/2014