Hivi ukimtongoza binti halafu akakujibu haya maneno, anakua na maana gani?

Kuna demu nilimtongoza akaniambia ngoja kwanza akamuombe Mungu amuonyeshe kama mimi ni mwanaume wa kweli na nimedhamilia, baada ya kuendelea kumsumbua mtoto wa kichaga akaingia anga zangu, mpaka leo nakula mzigo na hajawahi kuniambia kama kweli Mungu alimuonyesha
 
Hawa wengi ni wanachama watiifu wa CHAWAPUTA (Chama cha Wapiga Punyeto Tanzania)!
Kuna vyama unapovitaja kwanza unatakiwa uvitaje kwa heshima....Ohoooo!
Hiki chama sio cha kuchezea... kikiamua kusambaratika basi uchumi wa nchi utayumba. Nani asiyejua kuwa sabuni ni bidhaa muhimu sana nchini...
 
Kuna vyama unapovitaja kwanza unatakiwa uvitaje kwa heshima....Ohoooo!
Hiki chama sio cha kuchezea... kikiamua kusambaratika basi uchumi wa nchi utayumba. Nani asiyejua kuwa sabuni ni bidhaa muhimu sana nchini...

Nyie watu mna mawazo mapana.
Kwa namna hii tutainua uchumi wa viwanda.
 
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.

Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Siku hizi mwanamke / msichana hatongozwi Mkuu.

Ukijaribu kutongoza utapoteza muda mwingi sana.

Hayo maneno kama ngoja nikafikirie, huambiwa watu wasio kuwa na hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom