Hivi ukimtongoza binti halafu akakujibu haya maneno, anakua na maana gani?

Duuh! Mapenzi ya mwendo kasi haya, kumbe ndio maana mabinti wengi wanakuwa scrapers vibaya mno. ILA BADO UZINZI NI DHAMBI.
 
Ndani ya wiki tayari, Duuh! Mapenzi ya mwendo kasi haya, kumbe ndio maana mabinti wengi wanakuwa scrapers vibaya mno. ILA BADO UZINZI NI DHAMBI.
 
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.

Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Kama ana picha yako io kufkiria ni kwamba anaenda kuwaonesha mabest zake il 'wakuthaminishe'
 
Siku hiz safi sana,unafahamiana na mtu jf,mnachat,mapenz motomoto mnapanga kukutana unalamba baadae anakuja skan,akigundua ulioa rasmi anakwambia yeye baas lkn ushatimiza lengo,unafanyaje hapo?
 
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.

Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Bado kuna taratibu za kutongozana siku hizi? Bro approach yako haikuwa conviencing
 
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.

Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Tuna taratibu zetu babu kama ingekuwa rahisi hivyo basi tusingekuwa tunajistiri sana.
 
Tongozana ya hivo kumbe bado ipo?
Maana mie nakumbuka wakati natongoza na kupewa hayo majibu ni wakati ule jojo moja tunakula watu watatu.
 
dah kutongoza raha sana nashukuru kuzaliwa mwanaume, nikitaka demu tu natongoza. sema mkuu siku hizi tunatumia whatsp kutongoza hiyo face to face ni analog
 
Yuko sawa tu maana hapo anafata procedures za interview majibu baadae kama umepita au la..!
 
Mkuu badogo tuuu kutongozana kupo kwa karne hiiii au wewe upo wapi Mkuuu ?

Hawa viumbe ni kushika mkono tuuuu na kwendaaa nayee hapo kazi umemalizaa
 
Jamani haijafikia huko sio rahisi ki hivyo looh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom