Hivi ukimtongoza binti halafu akakujibu haya maneno, anakua na maana gani?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,057
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.

Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
 
Unajua hii ni ya zamani sana enzi za mchonga....siku hizi ni mwendo wa contacts tuu....the rest ni kama kumsukuma bob
 
anaenda kufikiria yale uliyomwambia
labda kuna vigezo vyake kwa mwanaume amtakaye ila kutokana na maneno yako anaweza kubadilisha alichopanga ila mpaka akafikirie kwanza

au labda mapozi asionekane maharage ya mbeya maji mara moja
 
Anaenda kumuuliza Dada yake kwanza, kama hayupo Shangazi au Shoga yake... and then Vipimo vinaanza

ila wengine waliozidiwa Mastress yao either ya kuachwa au jamaa zao wapo Mbali au umetikisa hisia zake hawanaga longo longo anaweza kukuuliza utampeleka wapi pazuri... uchachawe wewe tu
 
Duu siku hizi kuna kuomba majibu kweli? Siku mi naona unachukua no ya simu mnachat ndani ya week tuu unakula mzigo. Hapo ndio yeye mwenyewe aanze kukuita baby
 
Jibu huwa analo hapo hapo. Ila akisema badae anakuwa anakupa muda aangalie kama upo serious au la.
 
Wazee walinena kuwa MAMBO MAZURI HAYATAKI HARAKA......

UNAWEZA UKAONA UMEPATA KUMBE NDIO UMEKOSA....NA UNAWEZA UKAONA UMEKOSA KUMBE NDIO UMEPATA.......

SUBIRA HUVUTA KHERI.....

TATIZO LENU VIJANA WA SIKU HIZI MNAYOYATOA VINYWANI MWENU HAYATOKI MIOYONI MWENU.......NDIO MAANA UAMINIFU UMEKUWA MSAMIATI MGUMU SANA....KWANI HAJULIKANI MKWELI WALA MUONGO KWANI RANGI ZAO ZINAFANANA....
 
Kuna demu nilimtongoza akaniambia ngoja kwanza akamuombe Mungu amuonyeshe kama mimi ni mwanaume wa kweli na nimedhamilia, baada ya kuendelea kumsumbua mtoto wa kichaga akaingia anga zangu, mpaka leo nakula mzigo na hajawahi kuniambia kama kweli Mungu alimuonyesha
 
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine.

Swali langu ni kwamba kama amenickia na kunielewa kwa nin asitoe jibu hapo hapo badala ya kusubiri cku nyingine,au kuna mahali huwa wanaenda kuomba ushauri kwanza?
Wanasema mwanamke anakuwa ameshafanya maamuzi kama atakuwa na wewe au la katika sekundi saba baada ya mazungumzo.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom