Hivi uhakiki bado tu au ilikuwa gia tu ya kutunyima ajira?

Watu wengine wanatafuta kick kupitia kwenye changamaoto za wenzao....
 
Aise kiongozi bado nimewasiliana haya kituo changu cha kazi wanasema huyu mbabe hajatoa tamko
 
NASHAWISHIKA KUAMINI SERIKALI YA AWAMU YA TANO KUWA NI YA VISASI
Itakumbukwa kuwa katika historia ya chaguzi zilizopita chini ya mfumo wa vyama vingi , uchaguzi wa mwaka 2015 october ulikuwa ni uchaguzi wenye ushindani mkali na figisufigusi nyingi zilizoweza kushudiwa na wengi
Ni dhahiri kwamba chama tawala (CCM) kilichokuwa madarakani kilipata wakati mgumu kuhakikisha kinaendelea kushikilia dola, vuguvugu za kisiasa ndani na nje ya chama ilikuwa ni pigo kubwa kwa mgombea wa chama kunadi sera zake zikubalike kumuweka mgombea wa chama hicho madarakani hasa pale baadhi ya wanachama walipoamua kukuihama chama na kuhamia upande wa upinzani , usaliti ndani ya chama . n.k
Kuna kipindi mgombea wa kiti cha urais alishindwa kuvumilia ya moyoni na kutamka katika mikutano yake kuwa kuna wanachama wanakisaliti chama chao….
Aidha makundi mbalimbali yalionesha dhahiri upinzani na kutokubaliana na mgombea urais kupitia ( CCM) kutokana na kuchoshwa na utendaji mbovu wa serikali za awamu zilizopita uliokuwa umegubikwa na dhuluma unyanyasaji rushwa ubadhirifu na ufisadi uliokithiri..
Makundi hayo ni
Watumishi wa serikali
Wafanya biashara wadogo wadogo , eg wamachinga
Bodaboda
Wanafunzi wa vyuo vikuu
Katika vuguvugu hili la kisiasa na CCM Kuibuka mshindi katika uchaguzi huo wa octoba 25 2015 , serikali imekuwa ikinadi kuboresha maisha na maslahi ya wananchi wote katika Nyanja zote bila kujali itikadi za chama dini ukanda kabila nk . lakini ukweli ni kwamba serikali inajaribu kutekeleza ahadi zake ingawa imejaa visasi kwa makundi hayo kwenye utelekezaji wake. Mfano
1. wafanyakazi/watumishi swala la kuboresha maslahi yao hasa walimu liko wapi ?kuongezewa posho?? Kupandishwa vyeo, madaraja ? kutangaza wafanyakazi ambao hawatatii kuwa wanachama wa ccm hawatakuwa na nafasi katika uongozi wake??
2. Bodaboda kuna kila namna ya kukandamizwakwa kutumia vyombo vya dolapasipo wao kujua Mfano kinda ya ziwa na ndo maana wanasema wapo tayari kuunga UKUTA kwani ahadi za mheshimiwa hazijatekelezwa zaidi ya kuwaongezea kodi kutoka asilimia 45 hadi 95. Mheshimiwa BASHE (CCM) aliinuka na kutoa mapendekezo ya kuazisha vitega uchumi mbadala na kuomba Bodaboda wapunguziwe kodi lakini mhemiwa Dkt tulia Ackson akazuia kujadili swala hilo bungeni.
3. Mheshimiwa Rais alipo halalisha polisi kuchukua shilingi elfu tanotano kama ni posho ya kufutia viatu , polisi wa usalama wamekuwa wakitumia mwanya huo kuwanyanyasa bodaboda hata pasipokuea na uvujaji wa sheria ilimradi tu wanakingiwa kifua na mkubwa wao.
4. Aahadi mbalimbali zisizotekelezeka . Na mambo mengine mengi ambayo yanaendelea katika mwenendo mzima wa serikali kama tunavoendelea kuisoma namba kila mtu kwa namna yake na nyakati tofauti bila kujali matajiri au masikini kama alivokuwa akijinadi kuwa yeye ni rais wa masikini.
Serikali ya kisasi, jino kwa jino ( revenge kwa waliokuwa wakipinga chama na sio mgombea binafsi. Watanzania walikuwa wamechoshwa na serikali ya chama cha mapinduzi na sio mgombea yeye kama yeye…
Rai yangu kwa serikali iache kulipiza visasi badala yake ifanye kazi kwa haki na usawa kwa watanzania wote vinginevyo itakuwa inakosa mwelekeo na imani iliyokuwa imeanza kujengeka miongoni mwa wananchi juu ya serikali mpya ya mheshimiwa magufuli…
JE TUAMINI KUNA RAIS KWA WANACHAMA WA CCM NA WA UKAWA ?????
Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
 
Endelea kuisoma no ajira hadi wakumi na mbili mtakuwa Mmenyooka angalau msirudie tena next time kumpinga na chama chake alafu ukipewa ajira uwe mtiifu Wa ccm.,...
 
tukiamia dodoma zitatoka. vumilieni sisi tunatangulia dodoma kuanzia wa9, ila mh yeye atakuja wa12 nadhani wakwanza tutafungua dirisha la ajira na wote waliokidhi vigezo tuta waajiri.
 
Back
Top Bottom