hivi tuna watawala au viongozi tanzania?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Madaktari wamegoma ,watz wamekufa lawama viongozi
Kwenye mahospitali hakuna vifaa vya kutosha kama TC scan
WALA VITU VINGINE VYA DISAIGN HIYO LAWAMA VIONGOZI...
TUNA LIBARAZA LIKUBWA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU AMBAO
TUNATUMIA FEDHA NYINGI KULI RUN HUU NI MZIGO LAWAMA VIONGOZI
waalimu wana mgomo baridi,wanafunzi wanafeli lawama viongozi
Hawapewi mshahara wa kutosha hata siku kumi lawama viongozi


Huu wimbo unaweza ishaje maana haieleweki kama kweli shughuli hii inatakiwa iwe hivi au la
tufanyeje watz maana hatuwezi kuvumilia kwa kulaumu tu
nawasilisha
 
Back
Top Bottom