KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 864
Lile wigi watu wa njombe wanasema lina Nguvu fulani ya Kimira ambayo hataipata kama atabadilisha!!!!!!!!!!!!!Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana wigi analovaa huyu mama. kwa muda wote akiwa bungeni, nje ya nchi hata na wageni wake amekuwa akivaa wigi la aina moja tu ambalo kwanza halimpenezi bora hata angeacha nywele zake asuke mitindo mbalimbali au anunue mawigi ya aina mbalimbali ili alete mvuto wa kumuangalia. Kwa hilo alilonalo linachosha kuliangalia kila siku. Washauri wake au marafiki zake mtakaopita hapa JF hebu mpeni ushauri huu ili abadilike kidogo tumuone kwa muonekano mwingine tena unaweza ukampendezesha zaidi akawa wa kuvutia
Ndio maana akivaa huwa anatisha usoni na kupitisha miswaada bila woga!!!!!!!