Elections 2010 Hivi Sitta atakuwa anamwambia nini RA?

mie nadhani sita alikuwa akimwambia, sio mimi ndugu yangu nilliyekumaliza, mlaumu aliyeleta hizi hoja za Richmond
na EPA, pale sikuwa na ujanja, ila na wewe umezidi, hadi kile kidogo cha masikini nacho unakitaka!!!! aaaaaaah!!
 
Sitta anamwambia Rostam: "Hivi kweli wewe unadhani unaweza kushindana na mimi? Umejaribu kuleta vijisenti vyako jimboni kwangu ili wananchi wasinichague umeambulia patupu. Wachezee hao hao vijana wadogo akina Selelii lakini kwangu utapoa!"
 
Yaani wewe Ros wakuanza kula njama za kutaka kuning'oa ubunge mimi, wakati ukijua dhahiri mie sikuandika ile ripoti ya Richmond acha hizo lasivyo nitahoji uraia wako ebo!!
 
kuna mdau humuhumu jf aliwahi kuandika
''IN POLITICS,THERE IS NEITHER PERMANENT ENEMY NOR PERMANENT FRIEND''



nashukuru kwa kulitambua hilo. ni mimi bwana. nimeliandika hili mara nyingi mno; nimejaribu ku-trace na kupata japo za kiswahili (japo kuna kibao kiingereza kama ulivyonukuu): gonga hapa na hapa na hapa
 
Hivi hawa jamaa wanaweza kukaa pamoja hivi?

Siasa za BONGO sina hamu?

Jazia maneno kwenye mazungumzo haya

8znoy9.jpg

"Siasa ni usanii wa namna ya kuamua,VIPI upate, LINI upate na nini cha KUPATA. Na mara nyingi bahati ya mtu huwa ina play part. Na katika SIASA hakuna uhasama wa kudumu. ila kuna maslahi ya kudumu!!" Ndivyo Super Six anavyomwambia King Maker hapo!!!!!
 
Sitta: Unakumbuka tulikuwa pamoja kwenye mtandao ili kumpitisha JK aukwae urais? Tatizo ni kwamba wewe Rostam na mwenzako Lowassa hamkuweka mbele maslahi ya nchi ndio maana mie nimewageuka sasa. Kwa mfano suala la Richmond mie sikubaliani nanyi kabisa. Halafu mnafanya upigaji wa kutisha sana. Hamjui kwamba mnamharibia jamaa yetu? Rostam: wewe vipi? Kwani huyu jamaa si tulikubaliana naye kuwa ni upigaji kwa kwenda mbele?
 
Back
Top Bottom