Hivi Rais Samia anatambua hali ya umeme nchini kwa sasa? Mbona kimya kama hayamhusu?

Siyo umeme tu hata maji ni shida maeneo mengi yaliyopitiwa na mradi wa maji wa ziwa Victoria.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Tuna matatizo makubwa katika kutumia elimu na ujuzi tulionao. Hii imetokana na kuwa na fikra za kuazima au tegemezi.

Wanaoitwa wasomi hutumika kusababisha shida zaidi kwa wananchi badala ya kuwa msaada. Kunaanzishwa mamlaka za kudhibiti mabonde, maji, nishati, ... wakati huo huo hata uzalishaji bado kutosheleza (matumizi mabaya ya akili na elimu).

Wananchi wanaoishi kando ya ziwa au mto hawana maji ya mabomba majumbani (kisa matumizi mabaya ya akili na elimu kuwazuia kutumia pump kwa mahitaji yao).

Wananchi nao wanakuwa wajinga kukubali huo upuuzi.
Hawa wasomi wanatakiwa watumike kuwasaidia wananchi kupata maji kwa matumizi bora, salama na endelevu.

Hata taasisi za za kudhibiti ubora zinatakiwa zianzishwe baada ya uzalishaji mkubwa na ubunifu wa bidhaa zisizo na ubora ili kuwainua wananchi wabunifu (kwa mambo yasiyohusu afya).

Hata hivyo, changamoto ni viongozi kutokujua hali halisi ya wananchi mitaani na vijijini.
Hali itakuwa mbaya zaidi huko tuendako kwa sababu watachaguliwa na kuteuliwa watoto wa vigogo.
Maendeleo ya kweli na endelevu yatafanywa na wananchi wa kawaida, na ndiyo sababu ya migongano, misuguano na Mapinduzi katika njia ya kuelekea kwenye maendeleo.
 
Mbona Hadi masika mgao ulikuepo?
Sababu zipo za kutosha. 🤣🤣

Muda wa kiangazi wanasema kuna ukame na mabwawa yanakosa maji ya kuzalisha umeme hivyo kunakuwa na upungufu wa megawatt 200 mpaka 500 kwenye gridi ya taifa na ndio chanzo cha mgao

Muda wa masika wanasema kuwa mvua zimeharibu miundombinu(miundombinu CHAKAVU)ya kusambaza umeme, kama nguzo, nyaya na transfoma za kusambaza umeme. Pia mvua inaleta changamoto kwenye vituo cha kupooza na kusambaza umeme kwenda kwa wateja wetu. Baada ya hapo wanasema Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Baada ya hapo wanachota posho za mamilioni na mabilioni kisha inakuwa business as usual 🤣🤣🤣🤣
 
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?

Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?

Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!

Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Kwani naye ni mwananchi ?
 
Mlisema shida ni January tulieni dozi iwaingie 😁😁

Mwisho anatambua Sasa unataka nini wakati Waziri mhusika na Tanesco wamesema Wana upungufu wa umeme Kwa hiyo kuna mgao.

Hata ziarani aliko Rais wanamwambia umeme inakatika mara mara 18 mara mara 20 Kwa siku nk

Subirieni mvua zinyeshe hakuna shortcut na Ikulu au makazi ya Viongozi umeme Huwa haukatiki.😂😂
 
Huku kwetu nyanda za juu kusini umekatika sasa hivi, yaani kwa kweli JPM alikuwa mwamba, kipindupindu kilikishwa chini ya utawala wake, umeme haukiwahi kuwa tatizo, ujambazi ulitoweka daaah!
Kamdanganye mkeo,chini ya huyo JPM kwanza mtoa mada asingethubutu kuandika hii mada
 
Waseme, nchi nzima ina
  • Installed capacity ngapi?
  • Active ni ngapi?
  • Max demand ni ngapi? (Hapa wasitumie takwimu za uzalishaji wao ila uingizwaji wa generators kubwa zote kuanzia 625kVA)

Maji mpaka leo?
Tangu waliouza gesi kwa dharula pale mjengoni, mpaka sasa imepita miaka mingapi?
  • Kujenga kituo kimoja cha kuzalisha umeme wa 300MW inachukua muda gani?
  • Tumeshindwa kupata plant ya hata 1.2GW inayokuwa powered kwa gas? Jenga huko Mtwara li-plant likubwa, pinga Grid, ring cct, boresha distribution network, tuachie walalahoi tuserebuke nao
Installed capacity ni megawatt kama 1600 hivi

Sikutegemea mgao tena hasa baada ya Tanesco kusema wameingiza megawatt 300 za gas mwaka Jana disemba wakati umeme inasumbua Kama hivi Sasa sijui huu mgao umetoka wapi tena.

Kwamba demand ni kubwa Kwa kiasi hicho?
 
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?

Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?

Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!

Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Wivu tu
 
Nahis mkuuu kuna palaha unakosea simtetei BITEKO BUT muda wake tangu achukue ofs ni mcheche sana ngoja tuone kma nae MAKAMBA basi tutajua au kma SAMIA ameamua kumnusuru makamba yote tutajua jumba bovu liwe kwa BITEKO BASI YOTE TUTAJUA
 
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?

Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?

Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!

Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu

Kifupi huyu mama kashindwa
-Umeme -giza
-Mafuta-Hamna
-Usalama-Hamna
-Ajari barabara-Kila siku
-Hali ngumu ya maisha-zaidi
-Rushwa-imerudi mara saba zaidi
-Wered wa serikali-zero
-Ukwepaji kodi -90% (matajiri)
-
 
Labda kumtoa yule "chekibob" pale wizarani ndiyo solution pekee.

Anaona aibu hata kuongea maana kaikuta wizara ina mtu anafanya vyema tu kama wizara ya ardhi vile yeye kabadili watu pengine bila hata sababu za msingi na matokeo ikawa porojo nyingi utendaji 0.
 
Hili tatizo la umeme jinsi lilivyokosa suluhisho leo sababu hii kesho ile utafikiri watu wameiroga Tanesco ndio maana wanashindwa kutatatua shida ya umeme kitaalamu.
 
Back
Top Bottom