Hivi, ni tabia mbaya kuongea lugha yako?

Sasa kama unakiri lugha zinakupia chenga utawezaje kujua lugha atumiayo kuandika ni sanifu zaidi kuliko wewe na hao wenzako?

Nyani, kuna neno niliweka hapo juu kwenye post yangu. Nalo ni "....karibu lugha zote...." naomba ulizingatie.

Hata hivyo naweza kuendelea kuelezea maanisho langu kwa kusema: matumizi ya lugha katika kuandika ni tofauti na matumizi ya lugha hiyo hiyo katika kuiongea. Mifano ni mingi. Mmojawapo ni lugha zetu za kiasili, haswa za Kiafrika. Kuna nyingi zinaweza kuongeleka lakini kuandikika ni vigumu. Mfano Kisandawe, Kikhoikoi, n.k. Na huko ambako wanaongea lugha ya Kiingereza wapo wengi tu ambao wanaweza kuongea lugha yao vizuri tu lakini ukiwaambia waandike, utaona makosa kibao ambayo hata mtu aliyemaliza form IV Bongo anaweza asiyafanye.

Upande wa pili wa mfano ni kwamba, kuna watu wengi haswa kwenye academic institutions ambao wanaweza kuandika-na-kuandika ma-article marefu ya kielimu kwa ufasaha, lakini watu hao hao ukiwaambia wasimame kuongea katika lugha walizoandika inawawia vigumu kwao. Kuna mfano nitautoa hapa, kuna Professor mmoja alinifundisha chuo, alikuwa anatoka China... yaani ukimsikiliza kwenye lecture room unaweza ukasema, duuh, hii ni noma. Lakini akiandika bila kuweka jina lake wala huwezi kujiuliza mara mbili kuwa huyu ni mtaalam wa lugha pia katika field yake.

Nyani, natumaini nimeeleweka. Kama sijaeleweka usisite kuniuliza mkulu. Baadae.

SteveD.
 
No only in a meeting Or among friends who do not speak the same language.
In a public place like in a bus the conversation is between A and B and not everyone.
 
Nyani, kuna neno niliweka hapo juu kwenye post yangu. Nalo ni "....karibu lugha zote...." naomba ulizingatie.

Hata hivyo naweza kuendelea kuelezea maanisho langu kwa kusema: matumizi ya lugha katika kuandika ni tofauti na matumizi ya lugha hiyo hiyo katika kuiongea. Mifano ni mingi. Mmojawapo ni lugha zetu za kiasili, haswa za Kiafrika. Kuna nyingi zinaweza kuongeleka lakini kuandikika ni vigumu. Mfano Kisandawe, Kikhoikoi, n.k. Na huko ambako wanaongea lugha ya Kiingereza wapo wengi tu ambao wanaweza kuongea lugha yao vizuri tu lakini ukiwaambia waandike, utaona makosa kibao ambayo hata mtu aliyemaliza form IV Bongo anaweza asiyafanye.

Upande wa pili wa mfano ni kwamba, kuna watu wengi haswa kwenye academic institutions ambao wanaweza kuandika-na-kuandika ma-article marefu ya kielimu kwa ufasaha, lakini watu hao hao ukiwaambia wasimame kuongea katika lugha walizoandika inawawia vigumu kwao. Kuna mfano nitautoa hapa, kuna Professor mmoja alinifundisha chuo, alikuwa anatoka China... yaani ukimsikiliza kwenye lecture room unaweza ukasema, duuh, hii ni noma. Lakini akiandika bila kuweka jina lake wala huwezi kujiuliza mara mbili kuwa huyu ni mtaalam wa lugha pia katika field yake.

Nyani, natumaini nimeeleweka. Kama sijaeleweka usisite kuniuliza mkulu. Baadae.

SteveD.

Hahahahaaa...sawa bana, naona umepata kaupenyo lakini nahisi ulikuwa unamaanisha kiingereza na kiswahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom