Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,322
- 219,647
Wakuu natanguliza Salamu .
Baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza , kwenye nchi yetu ya Tanzania , ni yupi hasa mwenye mamlaka ya kuamuru kutekwa , kukamatwa ama hata kuuawa kwa Wakosoaji wa Serikali ?
Nafahamu kwamba Rais anayo mamlaka makubwa sana kwenye nchi yetu , Lakini kwa kadri ya Jicho la 3 sitaki kuamini kwamba kila anayetekwa utekwaji wake unatokana na Maelekezo ya Rais , sidhani .
Sasa nimekuja kwenu wadau wa JF ambako kumejaa uzoefu wa kila aina , hapa JF wapo waliowahi kutekwa na wapo pia wanaoteka wenzao , kwa uzoefu wao tunaomba watueleweshe vizuri jambo hili , Tukiondoa Rais wa Nchi , Je ni akina nani wengine Nchini Tanzania kwa Majina na vyeo vyao wanaweza kuamuru mtu kutekwa , kuteswa , kukamatwa ama kuuawa ?
Naomba kuwasilisha .