Hivi ni nani hasa anayeagiza Watu Watekwe ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,382
Wakuu natanguliza Salamu .
Baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza , kwenye nchi yetu ya Tanzania , ni yupi hasa mwenye mamlaka ya kuamuru kutekwa , kukamatwa ama hata kuuawa kwa Wakosoaji wa Serikali ?

Nafahamu kwamba Rais anayo mamlaka makubwa sana kwenye nchi yetu , Lakini kwa kadri ya Jicho la 3 sitaki kuamini kwamba kila anayetekwa utekwaji wake unatokana na Maelekezo ya Rais , sidhani .

Sasa nimekuja kwenu wadau wa JF ambako kumejaa uzoefu wa kila aina , hapa JF wapo waliowahi kutekwa na wapo pia wanaoteka wenzao , kwa uzoefu wao tunaomba watueleweshe vizuri jambo hili , Tukiondoa Rais wa Nchi , Je ni akina nani wengine Nchini Tanzania kwa Majina na vyeo vyao wanaweza kuamuru mtu kutekwa , kuteswa , kukamatwa ama kuuawa ?

Naomba kuwasilisha .
 
Utekaji ukitokea Rais asiukemee, basi as long as watekaji wanakuwa na sauti ya kuitetea serikali, basi kwa mamlaka ya Rais uliyoyasema ndiye anayebariki utekaji.
 
washamba fulani tu wanaoishi kizamani.

wangekuwa watu wa maana wangejikita kusimamia mambo muhimu yanayowafanya watanzania kuwa masikini kila kukicha.
 
Wakuu natanguliza Salamu .
Baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza , kwenye nchi yetu ya Tanzania , ni yupi hasa mwenye mamlaka ya kuamuru kutekwa , kukamatwa ama hata kuuawa kwa Wakosoaji wa Serikali ?

Nafahamu kwamba Rais anayo mamlaka makubwa sana kwenye nchi yetu , Lakini kwa kadri ya Jicho la 3 sitaki kuamini kwamba kila anayetekwa utekwaji wake unatokana na Maelekezo ya Rais , sidhani .

Sasa nimekuja kwenu wadau wa JF ambako kumejaa uzoefu wa kila aina , hapa JF wapo waliowahi kutekwa na wapo pia wanaoteka wenzao , kwa uzoefu wao tunaomba watueleweshe vizuri jambo hili , Tukiondoa Rais wa Nchi , Je ni akina nani wengine Nchini Tanzania kwa Majina na vyeo vyao wanaweza kuamuru mtu kutekwa , kuteswa , kukamatwa ama kuuawa ?

Naomba kuwasilisha .
Mnatuliza cc Nini c mliutangazia umma kuwa ni Magufuli atakuwa ni yeye anaendelea kuteka watu maana Sasa tumebaki watakatifu tuu unataka jibu zaid ya hili
 
kwamba bado anafanya hayo mambo ?
 
Back
Top Bottom