Hivi ni kweli Mrema aliwahi kukamata tausi wakitoroshwa Airport?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Tukiwa tunaomboleza kifo cha Augustine Mrema, mtu pekee kuwahi kushika cheo cha Naibu Waziri Mkuu. Mtaani kuna tetesi kuwa enzi za ubora wake, Marehemu Mrema aliwahi kuzuia tausi wasitoroshwe airport na mke wa kigogo fulani. Ukweli wa taarifa hizi upoje? Wakongwe njooni mtujuze...
 
Kwa hiyo ikiwa ni kweli au siyo kweli, what next? Alikamata? Aliwahi kuwa polisi!
 
Zilikuwa ni story za tauni enzi hizo,wanadai ni dhahabu sio tausi
Siyo wanadai huo Ndiyo Ukweli wenyewe. Labda wewe enzi hizo hukuwepo au ulikuwa mdogo sana, sisi wakongwe tulikuwepo enzi hizo gazeti letu pendwa Mfanyakazi liliripoti sana skendo na habari za uchunguzi, liliripoti habari hiyo ya Mrema kukamata dhahabu aliyokuwa nayo Siti Mwinyi uwanja wa ndege akielekea Dubai. Guess what? It was premature victory. The contraband was released the same hour, and the first lady proceeded with her journey. Na ndiyo mwanzo na sababu ya kutolewa wizara ya mambo ya ndani akatupwa Kazi, vijana na nini sijui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom