Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika
radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na
kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima
baba yake amwonje yule binti ili amruhusu mwanae kumwoa,
otherwise baba hawezi kutoa mahali na kumpa go ahead kijana wake.
hii ina maanisha baba kama anavijana 6 wanataka kuoa mathalan
atatembea na wakwe zake watarajiwa wote sita then anawakabidhi
vijawa wake. watu walipiga simu na kupinga sana kwani kama
baba ana ngoma basi atakuwa ameinvest kwa watoto wake wote.
kwa wanaojua zaidi naomba tujuzane na kama kuna nchi au
mahali pengine wanapopractise hii move