Hivi ni kweli waliozaa pamoja hawaachani hata wasipooana?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Habari wajumbe, mko pouwaa? Huku ni safi kabisa.

Jana bana baada ya kutoka kwenye mishe zangu za kulisaka tonge nikaona nipitie kijiweni kidogo kupata gahawa. Si unajua tena hii ndyo mitaa yenye mastori yote ya town! Du kutua tu pale si nikakuta stor inaendelea kuzizima.

Stor hii ilikuwa inasimuliwa na kijana mmoja ambaye namfahamu ila sina mazoea naye kivile.Du kupoa pale kdogo nikaagiza gahawa na kashata nikaendelea kupata, then nikanogesha mambo kwa kumwambia mhudumu atembeze round.

Du jamaa akaendelea kutiririka huku misuli ya uso ikiwa ishakaza.(Nahisi ni kutokana na maudhui ya stor aliyokuwa anasimulia).Du nikamskiliza kwa makini nikaanza kumpata kumbe stor yake ilikuwa hivi huyu jamaa bwana kumbe alikuwa ameoa ila mke wake huyu alikuwa na mtoto ambaye alikuja naye.

Wazazi hawa wnamawasiliano mazuri(wenye mtoto)Hakuona kama Kuna ubaya ila anachoona tatizo simu zimezidi, kila wakati simu kila muda simu. wanapigiana bla kujali Sasa huyu mzazi mwenzake ashakuwa mke rasmi wa mtu.Kipo kipindi anamuomba ruhusa ya kumpelekea mtoto akmuone Mzazi wake anaruhusiwa.(Wanakutana sehemu flani wanaongea wanayajenga)

Sasa bana mzazi mwenzake huyu Kuna siku alimhitaj wf wa jamaa aje center flan wakayajenge ,akaomba ruhusa jamaa akasita ila baada ya mazungumzo akamruhusu.(Awamu hii alisita kwani safari hii ilikuwa inabidi aende mwenyewe bila ya mtoto wao kwani alikuwa kijijini kuwasalimu Babu na Bibi)Basi siku ilipofika akajiandaa asubuhi kumfata mzazi mwenziye,eneo walipopanga wangekutana.Jamaa anasema alipoondoka tu yaani wf simu ikawa haipatikani🥱.

Piga wapi Piga wapi mhh.Akasema nn shida tn.Ilipofika sa kumi na mbili na nusu jioni simu ikaita haikupokekewa.Akatulia ilipofika sa 12:45( jioni) wf akapiga akasema alipotoka nyumbani simu ilianguka hivyo iliharibika so ilibidi aipeleke kwa fundi ndyo imetengemaa so alimplease amsamehe akaona isiwe case akatulia.Akampa Mme wake salamu zamgeni wake na zawadi pia amebeba (alimweleza)

Muda kdogo toka wif wk alipotoka kwenye ratiba yake hyo ya kumuona mzazi mwenziye, lkn Sasa hali yahewa ikaanza kubadilika mara kichef chef,mara kutapika ✋Katika kutafiti wakabaini wf ni mama kijacho.Lkn akipimia ratiba zake na wf wake hazikubaliani na matokeo.

Jambo hili linaonekana kumchanganya mdau japo hataki kuonesha Moja kwa Moja kwa wife kama hakubaiani na taarifa hiyo.Wakati stor inatakafika climax,nikapata simu ya muhimu ikabidi nitoke eneo lile.Ndyo nataka nimcheck mdau mmojawapo aliyekuwepo pale aniambia stor iliishaje.Du ama kweli tembea uone
#Hivi ni kweli Aya mambo yapo au kutishana tu mana du....
#Inasemekana hali huwa tete kama uyo mzazi mwenzie ka&zidi some spects of lyf
 
Usitegemee umuache Mwanamke baada ya kumzalisha na kumtelekeza ukijua eti siku nyege zimekubana uende akupe Mambo....jambo hilo halipo labda kwa baadhi ya Wanawake wachache

Saikolojia inasema Mwanamke anapenda mara moja, akisha Move-On ni ngumu sana kumrejesha kwenye himaya yako tena.

=======

Ili kukata hiyo chain ya mawasiliano, ukimkuta Single Mama na umempenda hakikisha unavaa uhusika wa Mume kwa kuhakikisha Mtoto/Watoto wake ni wako.

Wahudumie vizuri kuanzia Malazi, Mavazi, Chakula hadi Kuwasomesha.

Bila kusahau kumwonyesha Mapenzi ya dhati huyo Mwanamke ikiwemo na Kumkata Kiu yake ya Kimapenzi.

Kutokea hapo, huyo Single Mama hatokaa kumrejea huyo Baba watoto wake as kila kitu anakipata kwako.
 
Kili
Habari wajumbe,mko pouwaa? Huku ni safi kabisa.Jana bana baada ya kutoka kwenye mishe zangu za kulisaka tongue nikaona nipitie kijiweni kidogo kupata gahawa.Si unajua Tena hii ndyo mitaa yenye mastori yote ya town!Du kutua tu pale e aniambia stor iliishaje.Du ama kweli tembea uone
Kilichounganishwa na Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha wee huwa unafikiria ni kipi kinawaunganisha Mwanume na Mwanamke?? Mungu anaunganisha kupitia watoto kutenganisha mpaka kifo.
 
Usitegemee umuache Mwanamke baada ya kumzalisha na kumtelekeza ukijua eti siku nyege zimekubana uende akupe Mambo....jambo hilo halipo labda kwa baadhi ya Wanawake wachache

Saikolojia inasema Mwanamke anapenda mara moja, akisha Move-On ni ngumu sana kumrejesha kwenye himaya yako tena.

=======

Ili kukata hiyo chain ya mawasiliano, ukimkuta Single Mama na umempenda hakikisha unavaa uhusika wa Mume kwa kuhakikisha Mtoto/Watoto wake ni wako.

Wahudumie vizuri kuanzia Malazi, Mavazi, Chakula hadi Kuwasomesha.

Bila kusahau kumwonyesha Mapenzi ya dhati huyo Mwanamke ikiwemo na Kumkata Kiu yake ya Kimapenzi.

Kutokea hapo, huyo Single Mama hatokaa kumrejea huyo Baba watoto wake as kila kitu anakipata kwako.
Mhn! Naskia lazima wagongane wakikutana.

Btw hiyo avatar siyo ya masai dada ?

Sorry naona ni Masai baba.😄
 
Jid

Jidanganye unaongelea hawahawa wanawake wa duniani au Mbiguni??
 
Mwanamke anamheshimu sana mwanaume aliezaa nae mtoto hata kama ni mtu wa ovyo kiasi gani, bado heshima ipo pale pale na mbususu akitaka atapewa tu.
Haijalishi wewe umempa nini, hata ukimpa dunia kama akijiskia kuchakatana na mzazi mwenzie huna cha kuzuia.
Boss, Halafu tabia ya kuchukua mwanamke mwenye mtoto halafu hazalishwi mapema ndo hualalisha hili usemalo.

Ukichukua single mama, kabla hajakaa sawa mpe mimba akijfungua wakati anajiuliza uliza what happened mpe nyingine halafu ndo mwache apumue. Nina hakika, kama unahudumia watoto wote 3 kwa usawa sio rahisi kurisk maana anajua hatari yake ukimkimbia.
 
Usitegemee umuache Mwanamke baada ya kumzalisha na kumtelekeza ukijua eti siku nyege zimekubana uende akupe Mambo....jambo hilo halipo labda kwa baadhi ya Wanawake wachache

Saikolojia inasema Mwanamke anapenda mara moja, akisha Move-On ni ngumu sana kumrejesha kwenye himaya yako tena.

=======

Ili kukata hiyo chain ya mawasiliano, ukimkuta Single Mama na umempenda hakikisha unavaa uhusika wa Mume kwa kuhakikisha Mtoto/Watoto wake ni wako.

Wahudumie vizuri kuanzia Malazi, Mavazi, Chakula hadi Kuwasomesha.

Bila kusahau kumwonyesha Mapenzi ya dhati huyo Mwanamke ikiwemo na Kumkata Kiu yake ya Kimapenzi.

Kutokea hapo, huyo Single Mama hatokaa kumrejea huyo Baba watoto wake as kila kitu anakipata kwako.
Sasa hiyo KAZI ya ziada nani ataifanya?
 
Jidanganye unaongelea hawahawa wanawake wa duniani au Mbiguni??
Nina uzoefu katika hili, nimewahi kudate Single Mama mmoja miaka kadhaa iliyopita.

Alikuwa na msimamo sana yule Binti, Ex wake kila akija kwa gear mbalimbali za mtoto sijui nini alikuwa anazikwepa.

Nilikula kula mema pale hadi alipopata Mwanaume mwingine serious wa kumuoa maana i had commitment to someone else, then nikamruhusu aolewe naye kuliko kumrudia Ex wake ambaye niligundua asingekuwa Mume mzuri kwake as alikuwa anapenda zaidi u-Marioo.
 
Sasa hiyo KAZI ya ziada nani ataifanya?
Uifanye mwenyewe, yaani uhudumie vyote ushindwe kazi rahisi tu ya kumridhisha kitandani?

Hata kama utakuwa goigoi kama Mimi kutokana na Uzee but kuna namna ya kumfanya afike kilele cha Kibo pale Kilimanjaro 🤪🏃🏃
 
Mwanamke anamheshimu sana mwanaume aliezaa nae mtoto hata kama ni mtu wa ovyo kiasi gani, bado heshima ipo pale pale na mbususu akitaka atapewa tu.
Haijalishi wewe umempa nini, hata ukimpa dunia kama akijiskia kuchakatana na mzazi mwenzie huna cha kuzuia.
Tena wanasemaga kabisa siwezi kumnyima mtoto haki ya baba yake, baba yake akimuhitaji nitampeleka.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mhn! Naskia lazima wagongane wakikutana.

Btw hiyo avatar siyo ya masai dada ?

Sorry naona ni Masai baba.😄
Sio wote wanagongana wakikutana.

Nimesema Mwanamke hanaga kupenda mara mbili kihisia labda awe muuzaji tu.

Ukiweza kumteka moyo wake hatakuwa na nafasi ya kurudi alipotoka....

======

Vizuri kama umeweza kutofautisha Avatar, maana ni mbili tofauti.
 
We
Usitegemee umuache Mwanamke baada ya kumzalisha na kumtelekeza ukijua eti siku nyege zimekubana uende akupe Mambo....jambo hilo halipo labda kwa baadhi ya Wanawake wachache

Saikolojia inasema Mwanamke anapenda mara moja, akisha Move-On ni ngumu sana kumrejesha kwenye himaya yako tena.

=======

Ili kukata hiyo chain ya mawasiliano, ukimkuta Single Mama na umempenda hakikisha unavaa uhusika wa Mume kwa kuhakikisha Mtoto/Watoto wake ni wako.

Wahudumie vizuri kuanzia Malazi, Mavazi, Chakula hadi Kuwasomesha.

Bila kusahau kumwonyesha Mapenzi ya dhati huyo Mwanamke ikiwemo na Kumkata Kiu yake ya Kimapenzi.

Kutokea hapo, huyo Single Mama hatokaa kumrejea huyo Baba watoto wake as kila kitu anakipata kwako.
We jidanganye
 
we jamaa mjanja sana! Ila wazee wa Cuba tumeshakuelewa. Watakuja PM!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom