Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

Shikamoo ni maamkizi ya heshima kwa MTU aliyekuzidi umri hata kama ni mke wako, kwa watu wanaongea lugha ya kiswahili hiyo ndo salaam tuitumiyo kwa watu waliotuzidi umri.
 
Inategemea na mtazamo wa wapenzi wenyewe........sometimes inabeba vyote.....naksh katika mapenzi na pia heshma.......coz unaeza kuta kuna interval ya miaka 6 hadi 10.....so mama anaona kwa ilo gap shikamoo lazma.....also......una find mama anataka watoto wawe na heshma kwa wakubwa...anaamua hvo........so inadepend na perspective ya couples
 
Wanawake wengi wakisha ingiliwa tu hawapendi kuwaamkia waume zao, labda uiombe kwa nguvu. Lakini muhimu ni mke kumsalimia mume kwa salam toyote siyo lazima shikamoo maana ni neno la utumwa likimaanisha " nashika moyo wako mkuu usinihukumu"...
 
Mi nakumbuka wazazi wetu wakati ule hujawapa shikamoo,wanakuuliza leo Tumeamka wote mwanangu? Sasa huyu mwandani wangu nimetoka kugonga cha Asbh njema halafu anipe shikamoo ya nini tena...
 
Back
Top Bottom