Hivi ndo jinsi week inavyoenda

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Jumatatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.......
Jumanneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......
Jumatanoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
Alhamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Ijumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Jumamosijumapili.
 
Mwalimu:unamjua nani anaitwa Kinjekitile Ngwale?
Mwanafunzi:simfahamu
Mwalimu:angalia sana masomo yako.
Mwanafunzi:unamfahamu Mzee John?
Mwalimu:Hapana
Mwanafunzi:mwangalie sana mke wako.
 
exellent kabisa!
 
teh teh teh! Mbona j.mosi na j.pili zipo fupi sana? Mi wakati wa likizo nikimaliza kunywa chai naambiwa chakula cha mchana tayari, nikimaliza kupata lunch mara naulizwa hivi taa za nje zimewashwa kweli? Yaani sijui hata siku zinaendaje wakati wa likizo.
 
hahahahaha yaani weekend ni kama masaa sita
 
Mwalimu:unamjua nani anaitwa Kinjekitile Ngwale?
Mwanafunzi:simfahamu
Mwalimu:angalia sana masomo yako.
Mwanafunzi:unamfahamu Mzee John?
Mwalimu:Hapana
Mwanafunzi:mwangalie sana mke wako.

hahahaha mwanafunzi mmbea huyuu
 
Jumatatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.......
Jumanneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......
Jumatanoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
Alhamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Ijumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Jumamosijumapili.
Acha uvivu buddy,unatamani ingekuwa jumatatu,jumanne,jumatano,alhamisi,ijumaa,jumamosiiiiiiiiíiiii,jumapiliiiiiiiiiiiiiiiiii>>>>.
 
Back
Top Bottom