BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,720
- 6,527
Hawa jamaa bila ya siku moja nguvu ya umma kuwa applied, tusitegemee kuna mabadiliko yatakayo fanyika, angalia wanacho fanya sasa, watoto wao wanaandaliwa kuja kushika hatamu ya uongozi wa juu.Hawa hata kabla hatujafa tutakuwa tunawapisha barabarani msafara wao upite.
Hawa ndio viongozi wa watoto wetu take it from me. Hawa tunao waona sasa ndio watoto wetu watakuwa na jukumua la kufunga Barabara ili hawa wapite. Hawa wana kila aina ya rasilimali za kuwafikisha levo za wazazi wao.