Hivi ndivyo viongozi wa CCM wanavyoandaa watoto wao kuja kulinda mali zilizochumwa kifisadi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,505
Hawa jamaa bila ya siku moja nguvu ya umma kuwa applied, tusitegemee kuna mabadiliko yatakayo fanyika, angalia wanacho fanya sasa, watoto wao wanaandaliwa kuja kushika hatamu ya uongozi wa juu.Hawa hata kabla hatujafa tutakuwa tunawapisha barabarani msafara wao upite.

Hawa ndio viongozi wa watoto wetu take it from me. Hawa tunao waona sasa ndio watoto wetu watakuwa na jukumua la kufunga Barabara ili hawa wapite. Hawa wana kila aina ya rasilimali za kuwafikisha levo za wazazi wao.

Screenshot_20231221_121607_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20231221_121634_com.facebook.katana.jpg
 
Hawa jamaa bila ya siku moja nguvu ya umma kuwa applied, tusitegemee kuna mabadiliko yatakayo fanyika, angalia wanacho fanya sasa, watoto wao wanaandaliwa kuja kushika hatamu ya uongozi wa juu.Hawa hata kabla hatujafa tutakuwa tunawapisha barabarani msafara wao upite.

Hawa ndio viongozi wa watoto wetu take it from me. Hawa tunao waona sasa ndio watoto wetu watakuwa na jukumua la kufunga Barabara ili hawa wapite. Hawa wana kila aina ya rasilimali za kuwafikisha levo za wazazi wao.View attachment 2848946View attachment 2848948
huyo mwingine ndio anayekula tozo zetu sio?
 
Sasa kama 95% ya wananchi hawajitambui kwanini hao 5% wasiwaburuze tu kama wanavyotaka?!
 
Ndio maana wanapoteza muda kwa madiliko FEKI ya sheria ya uchaguzi.

Ili waendelee kujisimika na kupora kodi zetu.
 
Unaweza kudhani hao watoto wamepata kumbe wamepatikana..., yaani kuwa molded kulingana na matakwa / matamanio ya Mzazi na sio matamanio yao...., Just imagine unachukia Siasa na hupendi publicity alafu mzee wako ni mmoja wa hao jamaa...

Anyway to each his /her own na wanasema an apple does not fall far from a tree..., Vilevile mtu asipewe shavu sababu ni mtoto wa FULANI lakini pili asinyimwe sababu ni mtoto wa FULANI...

Mwisho kabisa sababu hawa madubwana wapo madarakani na Chama chao kipo Madarakani tangia enzi na enzi ingekuwa vema wangewaandaa vijana wao kuwa watanzania wema (hata kama ni viongozi basi viongozi wa watanzania) na sio wafuasi wa Itikadi / chama fulani (sababu one is not necessarily same as the other)...

Huu u-vyama hauna tija yoyote kwa mukstakabali mrefu wa Taifa.... (Kama ni chipukizi / scouts wawekeze kwenye scouts wa-kitaifa na sio kuwatenga kwenye magwanda na gamba)

In my humble Opinion.....
 
Hawa jamaa bila ya siku moja nguvu ya umma kuwa applied, tusitegemee kuna mabadiliko yatakayo fanyika, angalia wanacho fanya sasa, watoto wao wanaandaliwa kuja kushika hatamu ya uongozi wa juu.Hawa hata kabla hatujafa tutakuwa tunawapisha barabarani msafara wao upite.

Hawa ndio viongozi wa watoto wetu take it from me. Hawa tunao waona sasa ndio watoto wetu watakuwa na jukumua la kufunga Barabara ili hawa wapite. Hawa wana kila aina ya rasilimali za kuwafikisha levo za wazazi wao.View attachment 2848946View attachment 2848948
Wana nyuso katili za kijambazi kabisa ilhali bado watoto. Hawa huwezi kuwaita innocent kids. Wanaona wapo entitled kuongoza nchi hii kutokana na malezi yao.
 
Hawa jamaa bila ya siku moja nguvu ya umma kuwa applied, tusitegemee kuna mabadiliko yatakayo fanyika, angalia wanacho fanya sasa, watoto wao wanaandaliwa kuja kushika hatamu ya uongozi wa juu.Hawa hata kabla hatujafa tutakuwa tunawapisha barabarani msafara wao upite.

Hawa ndio viongozi wa watoto wetu take it from me. Hawa tunao waona sasa ndio watoto wetu watakuwa na jukumua la kufunga Barabara ili hawa wapite. Hawa wana kila aina ya rasilimali za kuwafikisha levo za wazazi wao.View attachment 2848946View attachment 2848948
Hebu acheni upu...mbavu..watoto wenu hawajakatazwa kwenda hapo..
Kama unapeleka wanao beach kila siku wenzio wanawaandaa watoto wao kuwa viongoz..sasa baba kiongoz ulitaka mtoto awe mwanamuzik..
Wa Tz watu wa lawama kila kukicha.
 
Back
Top Bottom